READING PDF Files

READING PDF Files

Chele2

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
102
Reaction score
5
wataalam,nahtaji kutumia sim za android,ni simu gan(hasa tecno) yenye uwezo wa kusoma pdf file? bajet yng ni 150,000
 
jipigepige mkuu upate angalau 300000 utapata simu nzuri.
ngoja tuwasubili wataaram zaidi.
 
wataalam,nahtaji kutumia sim za android,ni simu gan(hasa tecno) yenye uwezo wa kusoma pdf file? bajet yng ni 150,000

Hiyo techno kama ina run Android Os itapiga mzigo maana nakumbuka kuna Adobe Reader kwa Playstore waweza download na ukatumia bila shaka
 
ahsante mkuu so ni tecno ipi hiyo kwa pesa niliyonayo ili iede kuiunua?
 
ahsante mkuu so ni tecno ipi hiyo kwa pesa niliyonayo ili iede kuiunua?

tafuta tecno p3 kwa bei ulonayo inauwezo wa kusoma pdf files bila shida,na kwa 150elfu!
 
Thnx kwa mawazo wakuu ila kuna mtu kaniambia nzuri ni l3 sasa sijui mliopo mjini na mnaojua bei na sifa zake
 
Back
Top Bottom