Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wakuu niaje.nina simu ya samsung note9 shida niki unistall au delete txt notification ya deleted inakaa muda mrefu sana alaf ndy inatoka.eg. picha below
4 Reactions
5 Replies
643 Views
Kumekuwa na dhana kuwa wakati radi ikipiga huku ukiwa na simu iliyowaka kuna uwezekano ukadhurika na radi kutokana na uhusiano wa karibu kati ya umeme wa simu na umeme wa radi. Sasa je, ni upi...
6 Reactions
15 Replies
7K Views
Sio kila kilichopo kimetengenezwa au kuundwa kina dhamila mbaya inaweza kuwa nzuri kwa wengine na wengine wakatumia vibaya. Teknolojia inazidi kukuwa na kuwa msaada kwa matumizi lakini ugeuka...
2 Reactions
3 Replies
975 Views
Salama mafundi simu. Nokia yangu kama ilivyo kwenye picha,haisomi laini yoyote.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika Tehama kuna haya maneno HARDWARE na SOFTWARE software nikama control ya hardware.
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha...
0 Reactions
6 Replies
871 Views
Kama unahitaji website kwa ajili ya Biashara yako au app kama vile za movie, mziki, kubet, social media na vingine vyote. Malipo ni baada ya kazi. Karibu 0692782826
1 Reactions
6 Replies
808 Views
Naombeni Msaada, nimesahau e-mail na password za account yangu ya Facebook. Nawezaje ku-access account yangu?
0 Reactions
16 Replies
42K Views
Wanajamii habari zenu ,ninaomba msaada wa kielimu kwenye suala hili la kutengeneza animation ya automated power factor correction system kwenye kiwanda kidogo . Pia na namna ya kuandika...
0 Reactions
6 Replies
888 Views
Najuta kuchukua star X [emoji17][emoji55]‍[emoji2418], of course iko vzur Quality HD, muonekano mzuri deep black (margin nzur + kioo) zote n deep black sio unakuta margin nyeus kuliko kioo...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari za saa hizi wanajf! Nahitaji kununua TV ila sijajua kati ya hizo kampuni mbili ipi ni nzuri kwenye ubora wa picha na kudumu. Nasikia Samsung TV ipo ya kichina, UK, Korea na South Afrika...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Nimeleta nyuzi kadhaa kuhusu programming watu hawanijui na Wala hawajawahi kuniona anaongea if anakufahamu Kuna watu baadhi yenu huku mnanifahamu na tulishawahi kuonana live tuka discuss na...
2 Reactions
9 Replies
468 Views
Wadau pc yangu ni Dell toleo la zamani, wakati nafanya shighuli zangu za kawaida imekata moto gafla ila adapta inawaka kama kawaida sema pc yenyewe ndo haiwaki. Nina mpango wa kumwaona fundi ila...
1 Reactions
5 Replies
604 Views
Mhandisi wa kompyuta huchanganya uhandisi wa umeme na sayansi ya kompyuta ili kutegeneza teknolojia mpya. Wao hupanga, kujenga, na kuratibu vifaa vya kompyuta katika kompyuta za kisasa. Wahandisi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
This is 2 M1 Max connected together. Up to 128 gb of unified memory. 20 core CPU 64 core GPU 8x faster than M1.
3 Reactions
91 Replies
7K Views
1. Dar es salaam Institute of Technology (DIT) 2. St.Joseph University in Tanzania. 3. University of Dar es Salaam. 4. University of Dodoma
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu za muda? Je bei ya hichoo kioo ni kiasi gani? Nisije pigwa kwa uzoefu wenu naomba maoni yenu
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari Nimeingia kariakoo kununua RAM nimemwambia muuzaji nahitaji ram DDR3 GB 8 ananiuliza tena unataka ipi PC3L au PC3 nikabaki mdomo wazi nikamwambia hebu nipe elimu kidogo tofauti ni nini kati...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za jion wadau kama Kichwa Cha habari kinavyosema Laptop aina dell E5430 Inaleta mistari kwenye screen ikiwa imetingishwa ila ikitulia screen inatulia je ni tatizo la screen au software...
0 Reactions
3 Replies
385 Views
Kuna hii machine ya kitambo sana kichwa chake hiko kilizingua nikaiweka kando. Nataka kuifufua niinunulie kichwa chingine. Spika zake zote ziko vizuri Au kama kuna namna ya kuunga spika zake na...
2 Reactions
12 Replies
683 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…