Najuta kununua hii TV msaada please!!

Methyl phenol

Senior Member
Jul 22, 2021
184
272
Najuta kuchukua star X , of course iko vzur Quality HD, muonekano mzuri deep black (margin nzur + kioo) zote n deep black sio unakuta margin nyeus kuliko kioo ishort iko poa nadhan inafatia baada ya hizi zinazo tembelea brand name SAMSUNG, LG,HISENSE labda na SONY

Sasa kilichokuja kuniboa na kuni suprise n kwamba haina direct connection na SUBWOOFER yan huez connect nyaya moja kwa moja kutoka kwenye subwoofer mpaka kwa TV maana ina input tu haina outputs unless utumie king’amuzi daah nlikasilika nkajua tv mbovu nkarudisha dukan jamaa ndo kudai ivo kwamba version mpya ya star X zko ivo nami nkafatilia nkakonfem so ikabid nitulie tu
Coz ile tv n mpya till today inakaratas nkasema hata nkikurupuka kuuza ntapata hasara tu maana nlinunua kipind ambacho tv zko juu sana ila nahs ntaiuza ila sio sasa

Kwaio njia pekee ambayo inaeza kupa connection ya tv na subwoofer ni king’amuzi daah sasa hii ishu imeniboa sana coz mm nna mzuka na music yan imenikata stimu kabisa nlikua sna ata mpango na king’amuzi ila imenibidi nifanye hivyo nataka nichukue DSTV ili ata muda mwingne niwe naweka flash kwenye king’amuzi pale napata ile direct connection

So sad, nmeulizia tena naambiwa kwamba king’amuzi cha DSTV huwa kina sehem ya flash lakini huwa hai function?!

Et wajuzi hasa wa DSTV kuna ukweli wowote katika hili ??maana nazidi kuzima stimu
 
Star x ni kweli black yake imetulia kwanzia display na bezel zake zote ikiwa imezimwa ni deep black inamuonekano kama hizi big brand kuhusu kingamuzi nunua cha azam cha antena ni 50k kinagonga 1080p flash inakubali
 
Najuta kuchukua star X , of course iko vzur Quality HD, muonekano mzuri deep black (margin nzur + kioo) zote n deep black sio unakuta margin nyeus kuliko kioo ishort iko poa nadhan inafatia baada ya hizi zinazo tembelea brand name SAMSUNG, LG,HISENSE labda na SONY

Sasa kilichokuja kuniboa na kuni suprise n kwamba haina direct connection na SUBWOOFER yan huez connect nyaya moja kwa moja kutoka kwenye subwoofer mpaka kwa TV maana ina input tu haina outputs unless utumie king’amuzi daah nlikasilika nkajua tv mbovu nkarudisha dukan jamaa ndo kudai ivo kwamba version mpya ya star X zko ivo nami nkafatilia nkakonfem so ikabid nitulie tu
Coz ile tv n mpya till today inakaratas nkasema hata nkikurupuka kuuza ntapata hasara tu maana nlinunua kipind ambacho tv zko juu sana ila nahs ntaiuza ila sio sasa

Kwaio njia pekee ambayo inaeza kupa connection ya tv na subwoofer ni king’amuzi daah sasa hii ishu imeniboa sana coz mm nna mzuka na music yan imenikata stimu kabisa nlikua sna ata mpango na king’amuzi ila imenibidi nifanye hivyo nataka nichukue DSTV ili ata muda mwingne niwe naweka flash kwenye king’amuzi pale napata ile direct connection

So sad, nmeulizia tena naambiwa kwamba king’amuzi cha DSTV huwa kina sehem ya flash lakini huwa hai function?!

Et wajuzi hasa wa DSTV kuna ukweli wowote katika hili ??maana nazidi kuzima stimu
Picha
 
Kuna moja nipo nayo siku nainunua nilihangaika sana kuconnect hvyo unavyosema baadae ndo nikaja kukiona kitundu kama cha earphones/headphones ndo kinatumika kama output ya sound na hii tv ilikuwa na kiwaya kidogo kinachounganishwa na zile nyaya mbili(nyekundu na nyeupe) za kwenda kwenye subwoofer
 
Hilo tundu la earphone si ndo output yenyewe, yeye kasema haina output.

Niliwah nunua samsung miaka fulani, nayo haikuwa na output, sema ni vitu ambavyo huwa tuna overlook kwenye manunuzi.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Kuna moja nipo nayo siku nainunua nilihangaika sana kuconnect hvyo unavyosema baadae ndo nikaja kukiona kitundu kama cha earphones/headphones ndo kinatumika kama output ya sound na hii tv ilikuwa na kiwaya kidogo kinachounganishwa na zile nyaya mbili(nyekundu na nyeupe) za kwenda kwenye subwoofer
Nyingi ziko hivo. Kuna kijiwaya fln kwa mbele ni earphone jack af kwa nyuma kinatoa red na yellow nadhan ndo unaweka kwenye subwoofer
 
Najuta kuchukua star X , of course iko vzur Quality HD, muonekano mzuri deep black (margin nzur + kioo) zote n deep black sio unakuta margin nyeus kuliko kioo ishort iko poa nadhan inafatia baada ya hizi zinazo tembelea brand name SAMSUNG, LG,HISENSE labda na SONY

Sasa kilichokuja kuniboa na kuni suprise n kwamba haina direct connection na SUBWOOFER yan huez connect nyaya moja kwa moja kutoka kwenye subwoofer mpaka kwa TV maana ina input tu haina outputs unless utumie king’amuzi daah nlikasilika nkajua tv mbovu nkarudisha dukan jamaa ndo kudai ivo kwamba version mpya ya star X zko ivo nami nkafatilia nkakonfem so ikabid nitulie tu
Coz ile tv n mpya till today inakaratas nkasema hata nkikurupuka kuuza ntapata hasara tu maana nlinunua kipind ambacho tv zko juu sana ila nahs ntaiuza ila sio sasa

Kwaio njia pekee ambayo inaeza kupa connection ya tv na subwoofer ni king’amuzi daah sasa hii ishu imeniboa sana coz mm nna mzuka na music yan imenikata stimu kabisa nlikua sna ata mpango na king’amuzi ila imenibidi nifanye hivyo nataka nichukue DSTV ili ata muda mwingne niwe naweka flash kwenye king’amuzi pale napata ile direct connection

So sad, nmeulizia tena naambiwa kwamba king’amuzi cha DSTV huwa kina sehem ya flash lakini huwa hai function?!

Et wajuzi hasa wa DSTV kuna ukweli wowote katika hili ??maana nazidi kuzima stimu
Nunua android tv box hapo kwisha kazi. Ving'amuzi utahangaika coz kuna format zinaweza zingua kuplay.

Sidhan hata kama zinazidi dola 40 kwa aliexpress
-1638722610766327219.jpg
 
Najuta kuchukua star X , of course iko vzur Quality HD, muonekano mzuri deep black (margin nzur + kioo) zote n deep black sio unakuta margin nyeus kuliko kioo ishort iko poa nadhan inafatia baada ya hizi zinazo tembelea brand name SAMSUNG, LG,HISENSE labda na SONY

Sasa kilichokuja kuniboa na kuni suprise n kwamba haina direct connection na SUBWOOFER yan huez connect nyaya moja kwa moja kutoka kwenye subwoofer mpaka kwa TV maana ina input tu haina outputs unless utumie king’amuzi daah nlikasilika nkajua tv mbovu nkarudisha dukan jamaa ndo kudai ivo kwamba version mpya ya star X zko ivo nami nkafatilia nkakonfem so ikabid nitulie tu
Coz ile tv n mpya till today inakaratas nkasema hata nkikurupuka kuuza ntapata hasara tu maana nlinunua kipind ambacho tv zko juu sana ila nahs ntaiuza ila sio sasa

Kwaio njia pekee ambayo inaeza kupa connection ya tv na subwoofer ni king’amuzi daah sasa hii ishu imeniboa sana coz mm nna mzuka na music yan imenikata stimu kabisa nlikua sna ata mpango na king’amuzi ila imenibidi nifanye hivyo nataka nichukue DSTV ili ata muda mwingne niwe naweka flash kwenye king’amuzi pale napata ile direct connection

So sad, nmeulizia tena naambiwa kwamba king’amuzi cha DSTV huwa kina sehem ya flash lakini huwa hai function?!

Et wajuzi hasa wa DSTV kuna ukweli wowote katika hili ??maana nazidi kuzima stimu
Ni kweli
Sina hakika kwa dstv explorer ila hivi vya kwetu nami nimo hazisomi
 
Back
Top Bottom