Sony Hi-Fi MHC RG70

Extroverted Introvert

JF-Expert Member
Aug 18, 2022
306
815
Kuna hii machine ya kitambo sana kichwa chake hiko kilizingua nikaiweka kando. Nataka kuifufua niinunulie kichwa chingine. Spika zake zote ziko vizuri

Au kama kuna namna ya kuunga spika zake na kichwa cha redio zingine nikapata ubora ule ule wa sauti.
Screenshot_20240108_122713.jpg
 
Kuna hii machine ya kitambo sana kichwa chake hiko kilizingua nikaiweka kando. Nataka kuifufua niinunulie kichwa chingine. Spika zake zote ziko vizuri

Au kama kuna namna ya kuunga spika zake na kichwa cha redio zingine nikapata ubora ule ule wa sauti. View attachment 2865349
Unaweza ukaiwezesha kucheza flash na fm kama haina pia kuongeza power output japo itabidi ubadili spika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom