Sio Kila mtu tapeli ujuaji unatusumbua huku

claudematemu

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
317
Reaction score
480
Nimeleta nyuzi kadhaa kuhusu programming watu hawanijui na Wala hawajawahi kuniona anaongea if anakufahamu

Kuna watu baadhi yenu huku mnanifahamu na tulishawahi kuonana live tuka discuss na tunafundushana

Screenshot_20240109-091340.jpg
IMG-20240108-WA0012.jpg

View attachment 2868159
 
Nimeleta nyuzi kadhaa kuhusu programming watu hawanijui na Wala hawajawahi kuniona anaongea if anakufahamu

Kuna watu baadhi yenu huku mnanifahamu na tulishawahi kuonana live tuka discuss na tunafundushana

View attachment 2865979View attachment 2865980
Mkuu; Tatizo hapo ni namna unavyawasilisha hoja yako. Kumbuka watu hawafanani sio kwa uelewa tu bali hata kwa tabia. Wale mliokwisha onana na mkafahamiana sio waliokujibu.
 
Sasa kama wewe sio tapeli unasumbuka nini? Ni lazima ulete hizo nyuzi jf ambako kuna wajuaji na huaminiki? Kwakini usipeleke fb na insta!?
NB; Watu wamezaliwa kusema, huwezi kuwazuia!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom