kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 753
Kumekuwa na dhana kuwa wakati radi ikipiga huku ukiwa na simu iliyowaka kuna uwezekano ukadhurika na radi kutokana na uhusiano wa karibu kati ya umeme wa simu na umeme wa radi.
Sasa je, ni upi ukweli halisia juu ya dhana hii katika maisha ya kawaida? Je ni kweli tunapaswa kuendelea kuwa na hofu hiyo au hatupaswi?
Karibuni tusemezane kwa hili
Sasa je, ni upi ukweli halisia juu ya dhana hii katika maisha ya kawaida? Je ni kweli tunapaswa kuendelea kuwa na hofu hiyo au hatupaswi?
Karibuni tusemezane kwa hili