Msaada: Nimesahau e-mail na password za account yangu ya Facebook

super cup

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
212
91
Naombeni Msaada, nimesahau e-mail na password za account yangu ya Facebook. Nawezaje ku-access account yangu?
 
Hapo penye email andika jina unalotumia kwenye hiyo akaunt then password weka yoyote tu watakataa then utawapa namba yako ya sim watakutumia account zako utachagua iliyo sahihi afu watakutumia kitu kama confirmation
 
Nenda kwenye forget passwordutaweka jina la account,ztakuja account zote zenye majina ayo,utachagua account yako,watakutumia link ya kureset kwny email ukiyofungulia au namba ya sinu uliyoisajili.
Kama vyote hivi hauna,wasiliana nao private,utatakiwa utoe i.d,ktambo sana nkiwahi kutumia driving license,inavhukua 3-5 days km utaratbu haujabadilika,utaukizwa maswali kadha yanayohusu karafiki zako na wewe mwenyewe.
Wakiridhika wanafungua
 
Naomba unisaidie na mimi. Plz,Nawasiliana nao katika namba gani
 
Namba zao sina mrembo,
Ila nenda pale unapo log in,chagua forgot passwird,alaf utakua unajaza details utakazoulizwa,letsay namba ya simu au email
Niambie unatumia jina gan Instagram, Nikucheck private. Nikuelezee na mm nifanikiwe kama ww. Maana passwords naandika inakataaa. Na ubaya ndo nimesahau yahoo passwords yangu nilivyokuwa nafunguaga na namba ya xmu xkumbuk niliandikaga ipi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom