Msaada: Natafuta short course ya kufunga minara au broadcasting technology

Wana jf nashida ya kujua sehem gani au chuo(short course) ..gani naweza kwenda kujifunza maswala za broadcasting technology based kwa radio transmitters issues au single course ya ufungaji wa minara..
Nenda India au China hapa ndani utapigwa theory pekee
 
Vyuo vipo MUST kule kama nakumbuka fresh wana hizi kozi! Ila ukiona redio inafanya kazi wazee sio mchezo ina mambo mengi sana na uwekezaji wake mtu kajipanga na ana backup kama sio ya pesa basi vifaa kila kifaa kiwe mara 2 au zaidi 😄 imagine transmitter inapiga 64 units za Tanesco per day tu, siku kuna mgao hatuna umeme wao basi kuna generator la diesel likiwashwa kutwa kuanzia asubuhi mpaka jioni basi lita 60 zinakata..

Nimeshuhudia breakdowns za kutosha studio au mnarani, mnaweza unguliwa na component mfano MOSFET kwenye STL au Transmitter afu hakipatikani nchini mpaka uagize nje afu kadude kenyewe hata gram 10 hakifiki 😂😂 ila mtalazimika kusubiria sana kama hamna backup radio mtafunga ofisi au mnaweza unguliwa na mtambo wa millions of money within a second tu kama umeme ukileta hitilafu...

Kuna mwaka tuliunguliwa kifaa kidogo sana ndani ya Transmitter no 2 ya 2KW afu ikashindikana kutengeneza nchini yaani mafundi wote magwiji hapa TZ walichemka hata ku troubleshoot tatizo uzuri ilkua ndani ya warranty ilibidi tuitume Italy tulikoinunulia waitaliano wakaitengeneza ikapona tulisubiri miezi 3 ndiyo ikarudi nchini zaidi ya 3M zilitembea pamoja na kua ilkua na warranty ya miaka mbili, ila backup Transmitter ya 1KW ilituokoa muda wote huo.
 
Vyuo vipo MUST kule kama nakumbuka fresh wana hizi kozi! Ila ukiona redio inafanya kazi wazee sio mchezo ina mambo mengi sana na uwekezaji wake mtu kajipanga na ana backup kama sio ya pesa basi vifaa kila kifaa kiwe mara 2 au zaidi 😄 imagine transmitter inapiga 64 units za Tanesco per day tu, siku kuna mgao hatuna umeme wao basi kuna generator la diesel likiwashwa kutwa kuanzia asubuhi mpaka jioni basi lita 60 zinakata..

Nimeshuhudia breakdowns za kutosha studio au mnarani, mnaweza unguliwa na component mfano MOSFET kwenye STL au Transmitter afu hakipatikani nchini mpaka uagize nje afu kadude kenyewe hata gram 10 hakifiki 😂😂 ila mtalazimika kusubiria sana kama hamna backup radio mtafunga ofisi au mnaweza unguliwa na mtambo wa millions of money with a second tu...

Kuna mwaka tuliunguliwa kifaa kidogo sana ndani ya Transmitter no 2 ya 2KW afu ikashindikana kutengeneza nchini yaani mafundi wote magwiji hapa TZ walichemka hata ku troubleshooting tatizo uzuri ilkua ndani ya warranty ilibidi tuitume Italy tulikoinunulia waitaliano wakaitengeneza ikapona tulisubiri miezi 3 ndiyo ikarudi nchini zaidi ya 3M zilitembea pamoja na kua ina warr

Vyuo vipo MUST kule kama nakumbuka fresh wana hizi kozi! Ila ukiona redio inafanya kazi wazee sio mchezo ina mambo mengi sana na uwekezaji wake mtu kajipanga na ana backup kama sio ya pesa basi vifaa kila kifaa kiwe mara 2 au zaidi 😄 imagine transmitter inapiga 64 units za Tanesco per day tu, siku kuna mgao hatuna umeme wao basi kuna generator la diesel likiwashwa kutwa kuanzia asubuhi mpaka jioni basi lita 60 zinakata..

Nimeshuhudia breakdowns za kutosha studio au mnarani, mnaweza unguliwa na component mfano MOSFET kwenye STL au Transmitter afu hakipatikani nchini mpaka uagize nje afu kadude kenyewe hata gram 10 hakifiki 😂😂 ila mtalazimika kusubiria sana kama hamna backup radio mtafunga ofisi au mnaweza unguliwa na mtambo wa millions of money with a second tu...

Kuna mwaka tuliunguliwa kifaa kidogo sana ndani ya Transmitter no 2 ya 2KW afu ikashindikana kutengeneza nchini yaani mafundi wote magwiji hapa TZ walichemka hata ku troubleshooting tatizo uzuri ilkua ndani ya warranty ilibidi tuitume Italy tulikoinunulia waitaliano wakaitengeneza ikapona tulisubiri miezi 3 ndiyo ikarudi nchini zaidi ya 3M zilitembea pamoja na kua ina warranty..
Asante hii kazi imetokea nimeipenda baada ya kuifanya kwa muda mfupi
 
Vyuo vipo MUST kule kama nakumbuka fresh wana hizi kozi! Ila ukiona redio inafanya kazi wazee sio mchezo ina mambo mengi sana na uwekezaji wake mtu kajipanga na ana backup kama sio ya pesa basi vifaa kila kifaa kiwe mara 2 au zaidi imagine transmitter inapiga 64 units za Tanesco per day tu, siku kuna mgao hatuna umeme wao basi kuna generator la diesel likiwashwa kutwa kuanzia asubuhi mpaka jioni basi lita 60 zinakata..

Nimeshuhudia breakdowns za kutosha studio au mnarani, mnaweza unguliwa na component mfano MOSFET kwenye STL au Transmitter afu hakipatikani nchini mpaka uagize nje afu kadude kenyewe hata gram 10 hakifiki ila mtalazimika kusubiria sana kama hamna backup radio mtafunga ofisi au mnaweza unguliwa na mtambo wa millions of money within a second tu kama umeme ukileta hitilafu...

Kuna mwaka tuliunguliwa kifaa kidogo sana ndani ya Transmitter no 2 ya 2KW afu ikashindikana kutengeneza nchini yaani mafundi wote magwiji hapa TZ walichemka hata ku troubleshoot tatizo uzuri ilkua ndani ya warranty ilibidi tuitume Italy tulikoinunulia waitaliano wakaitengeneza ikapona tulisubiri miezi 3 ndiyo ikarudi nchini zaidi ya 3M zilitembea pamoja na kua ilkua na warranty ya miaka mbili, ila backup Transmitter ya 1KW ilituokoa muda wote huo.
Shida ya vyuo vyetu havina course za muda mfupi au semina la sivyo usome program yote miaka 3,4, nk. Kama zipo basi wajisikie wao na kutangaza.
Nakumbuka Veta waliwahi kutangaza coz ya ufundi simu dah watu tulikosa nafasi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom