Je, Umefungiwa WHATSAPP yako?

Shanley

JF-Expert Member
Nov 17, 2022
380
157
Je wewe ni muhanga wa kufungiwa kutumia WhatsApp ?

Whatsapp Kwenye simu yako na kila ukijiunga Whatsapp lazima upigwe ban? Unafanyaje kujiondoa?? Wengi wanajiuliza inakuwaje imenitokea hii inakutokea kwa sababu

umevunja sheria na taratibu za Whatsapp ndo maana umefungiwa

namba yako kutumia Whatsapp.

Kuna aina mbili za kufungiwa kwenye Whatsapp

(1) temporary (2) permanent

1 Temporary

Kawaida unafungiwa kuanzia nusu saa, 1hr,2hr, 8 mpaka 24hrs. Ila baada siku au masak kadhaa unarudishiwa akaunti yako na kuendelea kutumia kama kawaida.

2 Permanent

Hii ikikutokea bhana daah inabidi ufanye kazi kidogo maana huwa unafutiwa chati zako, alafu ukijiunga unakua kama unaanza upya vile maana unaondolewa kwenye ma groups yote uliyokuwepo kwenye Whatsapp.

Sababu Gani wanakufungia;

kutuma sms nyingi kwa watu kwa wkati mmoja

kutuma sms inayojirudia rudia kila mara ndani ya kipind kifupi

kutumia app zingine za Whatsapp gb, fm nk

kutengeneza ma groups mengi ya Whatsapp ndani ya muda mfupi

kutuma link zisizo salama kwa watu

kupigwa block na watu wengi inaonekana sio mtu mzuri kwenye jamii.

Jinsi ya kunondokana Permanent Ban

Kwanza tumia Whatsapp official toka soko la play store alafu ukimaliza Sasa inabidi ufanye mambo yafuatayo ili kuwa salama

Kama umepigwa Whatsapp Permanent Ban fanya hivi chukua hii email ya support@whatsapp.com

Kisha fungua email yako usitumie email hii support@smb.whatsapp.com haifanyi kazi utakesha.

Fungua email yako kisha andika kuwa unajua umekosa kuwa uliweza kufanya jambo ambalo ukutegemea kama utafungiwa akaunti yako kisha tumia hii email kuwatumia changamoto yako support@whatsapp.com

Baada ya saa 4 mpaka 24hrs pia unaweza kupelekwa ata siku mbili tatu kuweza kufunguliwa akaunti yako hakikisha unaweka na namba ya simu ambayo imefungiwa kutumia Whatsapp.

Jitahidi kutumia official Whatsapp ni salama kwako kuliko Gb

Whatsapp?? Vipi wewe ukipigwa banned unafanya kitu Gani tuachie.

Email hakikisha iko hivi;
1. Lugha iliyonyooka (Kiingreza safi siyo cha Rasi Simba)
2. Uanze kwa kuwashukuru, Mfano “ I real Appreciate how WhatsApp boosted my small business…….”
3. Waambie ulikuwa huzifahamu vizuri “Sheria na Sera zao” lakini sasa wazijua
4. Hivyo Hutarudia Makosa
5. Omba wakufungulie Account yako
6. Kwa sababu ndo unaitegemea kwenye Biashara zako ndogo

Weka Namba zako na usisahau kuweka +255
 
Hivo hivo kwa kiswahili
 
Mkuu shukrn kwa uzi mimi pia nimefungiwa whatsapp yangu ila nikijarbu kutuma maombi wanifungurie wanasema natumia whatsapp isio sahihi wakati nimeisha futa gb whatsapp ambayo ndio ilio fungw msaada mkuu
 
Back
Top Bottom