Lenovo think Pad X260

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,340
5,574
Wadau,, hivi kwa Dunia ya sasa,,je mtu anweza kununu Lenovo thinkPad X260 au unamshauri anunue laptop ipi inayoendena na heavy duty activities lakini inatunza charge kama Lenovo X260 Ram8GB?Naomba ushauri
 
X260 ni gen ya 6 matumizi heavy haitapiga tena.

Inategemea na budget ila Ryzen 5500U ama equivalent yake ambayo core zake ni angalau zen 2, zenye core 6 na gpu za vega7/Vega8 zinapiga kazi heavy na gpu zake sio mbaya.

Around 800K hivi unaanza kuzipata.
 
IMG_2399.png

Chief Naomba Ushauri Hii Inaweza Kufaa Wa Heavy Duty Android Programming Issues Na Graphics Kwa Bei Hiyo
 
Hizo heavy duties activities ndi zipi? Maana Mimi Nina Asus ROG Strix na HP pavilion15 na nainjoy balaa.
 
Back
Top Bottom