Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wakuu, Tafadhari naomben ushauri ninunue simu gani kati ya LG G2 na NOKIA LUMIA 830.. nimepta Mlimani city nimekuta bie ya LG G2 ni 645000 na ya LUMIA 830 ni 665000...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari wana jamvi, Nina Tv yangu Samsung LCD flat 32inc, ina sehem ya USB lkn kwenye program zake ukiweka flash disk inasoma audio tu hakuna option ya kuona video. Nifanye nini kuweza kuona na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Msaada kwa yeyote anaefahamu hii makitu wakuu please !
0 Reactions
6 Replies
2K Views
11 - MAY My dear friends, After a long span of time, I have come up with something new for you and hope that you will enjoy it. Today I will show you people the trick which will increase the speed...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Nauliza kama kuna uwezo wa kudownload app kwenye simu halafu ukaificha mtu mwingine akichukua simu asiweze kuiona!mfano umedowload viber lakini mtu mwingine akichukua simu hawezi kuiona !
0 Reactions
31 Replies
5K Views
ASSALAAM ALYKUM/BWANA YESU ASIFIWE/ AMANI YA BWANA IWE NANYI baada ya salam naomba kwa wale madj mnisaidie, kwa kawaida nikiwa nyumbani nikijipunzisha napenda kutumia vitual dj kusikiliza na...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Hi sasa kuna hii simu ya Samsung Win nimesoma tutorial za ku-root na the easiest niliyopata ni ya kutumia FRAMAROOT lkn kwangu inafail kwa exploits zote mbili ndani ya hii app method ya pili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
31 - MAR How are you dear viewers I hope that you will be in a charming mood. Today I will be sharing with you people how to trace the IP address of an online user using cmd. Most of the people...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi? Tafadhali naomba kujuzwa wastani wa matumizi ya mafuta km kwa lita moja ukitumia gari ya alteza gita 4 c na 6 c. Asanteni!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
icho kama kiringi mkononi mwa mdau apo juu ni "Bracelet cicret" kifaa ambacho kitafanya kazi sambamba na "Cicret app" ambayo uta install kwenye simu yako (kwa nielewavyo mimi) "Bracelet...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wapendwa! Hivi Windows Phones(Nokia Lumia) nazo zina clones zake kama ilivyozoeleka kwenye Android Phones kama Samsung etc? Nnampango wa kuchukua Nokia Lumia once, ila sifahamu kama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu natafuta note 2 second hand(isiwe mbovu), nna 350,000 na pia nikipata s3 used kwa 300,000 ntachukua! nipo Dar, kama kuna anayeuza aniPM Note: kabla sijainunua nitakuja na mtaalam wangu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayefahamu serial keys za need for speed hot persuit naomba.
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Habari na heshima kwenu wanadau naomba nijue jinsi ya kutumia ya flash card kwenye smartphone!! Karibuni kwa msaada wenu!
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Je ni printer aina gani inafaa kwa biashara kama stationary na phocopier aina gani inafaa kwa biashara km stationary
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Nina kiasi kidogo cha pesa kama laki na tisini je ninunue simu gan jamani manake kiukweli I hate tecno
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hdd yangu imepiga shot,haiwaki na ina data ambazo nahitaji kuziokoa. Nifanyeje ili niweze kuokoa data hizo? Naomba msaada tafadhali wanajamvi.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Scientists urge governments to turn old TV frequencies into free "super WiFi" Governments should sack plans to auction off old television frequencies to the highest bidder and instead use the...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mim ni mmoja wa watumiaji wazuri wa hii sim ila yangu n tofauti kidogo, iko telstra branded kitu kinachonikera ni pale ninapojaribu kuinstall uc browser for android inagoma(haiinstall) inasema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, natumia TECNO P5 lakina ni wiki ya 2 sasa nashindwa ku-update apps, kila nikijaribu napata ujumbe unaosema "No sufficient space on your device" wakati huo memory card yangu ina...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom