Which is the best video and audio mixing program for PC

Which is the best video and audio mixing program for PC

Dah! hebu elezea mixing ya aina gn....vocal au mixng different song
 
Mixer inayoweza kumix picha za video mbili au zaid, yenye sound effects.

Kwenye audio mixing ikiwa na uwezo kama visual dj itakuwa more than enough
 
unataka kumix video kwa maana ya editing au unazungumzia vj na dvj"s yani kwa ajili ya club {disco}?
 
Msaada kwa yeyote anaefahamu hii makitu wakuu please !
swali lako linachanganya kidogo, unahitaji video editing software au video mixing software? au kwa ufupi ungeeleza unataka kwa matumizi gani.
 
Back
Top Bottom