Nitumie Printer na Photocopy za aina gani kwa matumizi ya stationery ?

bado nipo

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
303
0
Je ni printer aina gani inafaa kwa biashara kama stationary na phocopier aina gani inafaa kwa biashara km stationary
 
1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,041
1,250
Je ni printer aina gani inafaa kwa biashara kama stationary na phocopier aina gani inafaa kwa biashara km stationary
Pole miye nataka kusahihisha neno "STATIONARY" hili sio "STATIONERY" la kwako lilipasa kuwa hili la pili.
 
Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
239
195
Stationery kubwa inyoweza kufanya kazi complex nunua Epson P660 na Konica Bizhub Minolta (hata c230 iko poa)
 
bdo

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,771
2,000
Hivyo vifaa kwa ajili ya color printing au black and white printing? Bajeti yako ipoje
 
MIUNDOMBINU

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
466
225
Ushauri wa ndg Fakhi sio Mbaya sana.
Ila Epson px660, hazipo sokoni kwa sasa, badala yake kuna, L800, xp704, na Xp705. Pia kuna p50, Hizo zote , pia kuna 1410, ambayo ni A3.

Kwa Konica Minolta Bizhub, nakushauri ununue c364, maana bei haipishani sana na c230. Pia spare Zake na consumable material zipo.

Kumbuka c230 inatoa karatasi 23/m.
Na c364, inatoa karatasi 36/m full color. Pia iko na resolution Nzuri sana zaidi ya hiyo c230.
 
Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
5,532

Bei zake zikoje mkuu?
 
Nantes

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
544

epson p50 mpya bei gani?
 
Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,805
1,500
Photocopy angalia canon na printer angalia hp kutokana na urahisi na upatikanaji wa catridge zake
 
Donking7

Senior Member
Mar 27, 2014
153
225
Wadau niaje? Ebwana npeni mwangaza kidogo jnsi ya kupata wino wa Epson xp 600 Maana nilijaribu kurefil kwa kutumia zile cartrg zake ikagundua so ikaonesha 'error' plz yr help!
 
Mr. madevu

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
433
225
Wadau niaje? Ebwana npeni mwangaza kidogo jnsi ya kupata wino wa Epson xp 600 Maana nilijaribu kurefil kwa kutumia zile cartrg zake ikagundua so ikaonesha 'error' plz yr help!
Tumia CISS hio itakua rahisi sana kwako na itakuokololea gharama za wino
 
Mr. madevu

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
433
225
Je ni printer aina gani inafaa kwa biashara kama stationary na phocopier aina gani inafaa kwa biashara km stationary
Kama wadau walivyo kuelekeza hapo awali kuhusu. Ila ningekushauri zaidi ununue printer za epson kulingana na bajeti yako. Ila kama bajeti inaruhusu chukua epson L800.
Kwa upande wa photocopy nakushauri uchukue canon maan la nina uzoefu nazo. Spare parts , maintance na hata wino zake ziko nafuu sana ukilinganisha na brand nyingine. Mfano unaweza nunue canon ir2016/ir2018/ir2318 ni nzuri sana kwa kuanzia biashara.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom