Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Hi
sasa kuna hii simu ya Samsung Win nimesoma tutorial za ku-root na the easiest niliyopata ni ya kutumia FRAMAROOT lkn kwangu inafail kwa exploits zote mbili ndani ya hii app
method ya pili ninayo iona online nikutumia CMW na Odin sasa mm hizii njia hata sina experience nazo maana sijawai hata ingiza hata rom ktk simu yoyote
kama kuna mtu anajua njia rahisi na eliable au sight ya kuaminika ambbako hata nikidownload updat.zip za ku-root hii simu hazitaleta madhara
je nifanye nn ili kuwa secure kipindi nafanya root kupitia CMW maana woga umenijaa sababu njia zinazokubali kwa wenzagu wenye similar phone kwangu inagoma
phone firmware version hii hapa
thanks