Msaada wa kutoa files kwenye HDD kama imepiga shoti

Msaada wa kutoa files kwenye HDD kama imepiga shoti

Kugeuka

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
333
Reaction score
225
Hdd yangu imepiga shot,haiwaki na ina data ambazo nahitaji kuziokoa. Nifanyeje ili niweze kuokoa data hizo? Naomba msaada tafadhali wanajamvi.
 
data zako zinaweza rudi,,umejaribu kutumia kama external? Unapatikana wap
 
Tafuta cable za kuifany hiyo disk yako iwe external ikishindika.a kwenye windos kaijaribu kwenye mac i wish unaweza zipata.
 
Imepiga shoti kabisa yaani imeungua? HD yanyewe na sio lile kasha la external? Kama ni HD yenyewe basi assentialy data zimepotea unless uwe teyari kulipa mamia ya dola kuziokoa.

Kama ni case basi nunua case nyingine tu.
 
Hyo bye bye mi nilijua ni partion ndio imelost..ndio ujifunze kuback up HHD
 
Back
Top Bottom