Nashindwa ku-intall UCBrowser kwenye Huawei y530 naomba msaada

Nov 9, 2014
20
0
Mim ni mmoja wa watumiaji wazuri wa hii sim ila yangu n tofauti kidogo, iko telstra branded kitu kinachonikera ni pale ninapojaribu kuinstall uc browser for android inagoma(haiinstall) inasema your phone doesnt support live walpaper,

kwa yeyote anayetumia sim kama hii naomba ajaribu kutest kuinstall uc browser for android(usiwe confused na uc browser min au uc browser hd we search uc browser for android itakuja pale play store then install).

Halaf niambien kama inakubali kwenye sim zenu nataka kujua tu labda tatizo n simu yangu hii ambayo n brand ya telstra wametoa huo uwezo wa kupokea live walpaper apps au sim za huawei y530 hazisupport live wallpaper apps, p'se jaman
 

khalfan56

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
641
250
huawei y530 hazi support live wallpaper ndio maana watu wanatafuta custom rom
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom