Naomba msaada jinsi ya ku-update Applicatios kwenye TECNO P5

tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
845
1,000
Habari wanajamvi, natumia TECNO P5 lakina ni wiki ya 2 sasa nashindwa ku-update apps, kila nikijaribu napata ujumbe unaosema "No sufficient space on your device" wakati huo memory card yangu ina nafasi iliyobaki kama 5gb, nimefanya kila nililoweza bila mafanikio, naombeni msaada wenu tafadhal, natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Attachments

Abuhamso

Member
Jun 20, 2013
42
95
internal memory imejaa. kuna apps hazikai kwenye mem card na pia zataka space ya kurun ambayo lazima iwe internal memory.

so jaribu kufuta ama kuhamisha apps katika internal kuzileta katika mem card ili simu iwe na space
 
Battery low

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
315
195
Habari wanajamvi, natumia TECNO P5 lakina ni wiki ya 2 sasa nashindwa ku-update apps, kila nikijaribu napata ujumbe unaosema "No sufficient space on your device" wakati huo memory card yangu ina nafasi iliyobaki kama 5gb, nimefanya kila nililoweza bila mafanikio, naombeni msaada wenu tafadhal, natanguliza shukurani zangu za dhati.
mkuu pole sana.hili tatzo ni common sana katk sim za tecno na lishapostiwa sana humu jf na wala hakuna anae jua kulitatua.mm pia nilienda mpaka kwa mawakala wao(carlcare) lkn hawakuweza pia
 
tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
845
1,000
Kamera iko vizur yaani kwa ujumla inapiga kazi vizur tatizo ni hilo tu
 
tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
845
1,000
Mkuu Abuhamso nimejaribu kufanya kama ulivyonielekeza bila suluhisho, pia hata nikitaka ku-install app mpya kwenye memory card napata ujumbe huohuo
 
Last edited by a moderator:

khalfan56

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
641
250
Habari wanajamvi, natumia TECNO P5 lakina ni wiki ya 2 sasa nashindwa ku-update apps, kila nikijaribu napata ujumbe unaosema "No sufficient space on your device" wakati huo memory card yangu ina nafasi iliyobaki kama 5gb, nimefanya kila nililoweza bila mafanikio, naombeni msaada wenu tafadhal, natanguliza shukurani zangu za dhati.
maana yake nafasi ya app imejaa njia za kutatua tatizo zipo nyingi ila kama unaso memory card weka kila app ukidownload iingie direct kwenye sd card kama unayo computer ndio vizuri zaid kama huna download link2sd card i search play store pia punguza baadhi ya apps kama huzitumii kwa hiyo kama una pc sema ntakuwekea attachment kazi yako ni kuclick tu zenye utaweza kudownload apps kama kwaida
 
Mkuu nimeshafanya hivyo lakini matokeo ni zero, nikidownload videos zinakuwa stored kwenye memory card kama kawaida ila tu niki-update apps au ku-install zingine ndo napata huo ujumbe, kwenye simu nimetoa almost apps zote zimebakia kama 4 pamoja na zile zilizokuja na simu, sim yangu imemaliza mwaka labda ndo utakuwa mwisho wake kama hamna solution ya hili tatizo
 
tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
845
1,000
mkuu pole sana.hili tatzo ni common sana katk sim za tecno na lishapostiwa sana humu jf na wala hakuna anae jua kulitatua.mm pia nilienda mpaka kwa mawakala wao(carlcare) lkn hawakuweza pia
Asante mkuu labda ndo utakuwa mwisho wake maana sim imeshamaliza mwaka
 
bullet

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
1,033
1,500
Habari wanajamvi, natumia TECNO P5 lakina ni wiki ya 2 sasa nashindwa ku-update apps, kila nikijaribu napata ujumbe unaosema "No sufficient space on your device" wakati huo memory card yangu ina nafasi iliyobaki kama 5gb, nimefanya kila nililoweza bila mafanikio, naombeni msaada wenu tafadhal, natanguliza shukurani zangu za dhati.
Nenda kwenye setting ufanye FACTORY RESET ila uta-erase vitu vyako kwenye phone memory.
 
TRIPLE H

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
651
500
Nataka kununua tablet ya tecno g9 itanifaa au ndo itazingua kama p5 ya mshkaji? maana mie nataka network isiyosuasua, na bei ni hipi?
Msaada please!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom