Wadau habarini,
naombeni msaada wenu,
Kuna movie nimedownload kwenye hii site
YIFY Movies Official
Ila zinazingua kuonesha zinadai codec Pack V1.0
Ukifatilia kwenye hiyo web the link ya...
ZA JIONI WANA JF..
Computer yangu inasema *no battery detected* wakat betri imo,. yan sa iv kila kitu kiko slow
-kuwaka
-ku-open files
-deleting
-ku-install programs
na mengineyo yote...
Poleni na Majukumu Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, lap top yangu aina ya Sony imestuck button zote kasoro pale kwenye Mouse yake so sijajua ni tatizo gani hasa na ni brand new...
Nilikosea ku Unlock simu yangu(Huawei Y 300) kwa kutumia Pattern,sasa inahitaji kufunguliwa kwa kutumia google account,naomba msaada wenu wa kutambua password ya hii account...
Jamani kwa mtu yoyote ambaye anafahamu WEB API ambayo naweza nikaitumia for free kusend SMS anijulishe. Nimejaribu Google Voice ila sijui kama kutuma meseji ni bure maana natuma meseji hazifiki.
Kwa wale ambao wapo nje unaweza now kusikiliza redio za ndani (Tanzania ),kwa wale wanaotumia android. Nenda kwenye play store halafu search "Tanzania radio " download hiyo app.utakuwa umemaliza...
Nina iphone 3gs, nikidownload applications kama facebook, whatsapp na nyinginezo zinakataa. inataka ni update kwenda version ya 4. msaada plz ktk ku update
Simplicity and design at the heart of Nokia's first brand-licensed product
Espoo, Finland - Nokia today announced the N1, the first Nokia-branded AndroidTM tablet. The N1 offers the innovative...
Wanajamii habari za jioni.Nina simu aina Alcatel one touch 918 inakubali internet Airtel peke yake,kila nikijaribu airtel haikubali.Naomba mwenye kujua kama configuration ya Vodacom anielekeze...
As there's a growing demand for energy saving technology in industrial lighting, Yaham Lighting upgraded its linear LED high bay light to be more intelligent, energy saving, and convenient with...
Habari za jioni wanajamvi, Awali ya yote niwashukuru wale wote walionipa maelekezo namna ya kupata files hizo kulingana na post yangu ya wiki iliyopita.
Ukweli nikwamba mpaka sasa nimechemka,kwa...
Wakuu !
Naomba msaada wa jinsi gani naweza kupangilia kitabu ili kiwe tayari kwa ku-print? nataka kiwe kwenye size ya A5. Nimeshakiandika katika microsoft word sasa kukipanga kwa pages nifanyeje...
Hellow guys, poleni na majukumu....tatizo langu huwa nikiingia internet nikitaka kufungua website yoyote hata ya Google.com huwa inaishia njiani na kuandika ujumbe "this connection is untrusted"...
Wadau salaam!
NATAKA FUNGUO ZOTE:
Mimi nataka nipate website, nitamtafuta mtaalam wa website anitengezee na kunifanyia masuala yote ya domain registration na hosting! Sasa nikitaka kuwa mmiliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.