snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,165
icho kama kiringi mkononi mwa mdau apo juu ni "Bracelet cicret" kifaa ambacho kitafanya kazi sambamba na "Cicret app" ambayo uta install kwenye simu yako (kwa nielewavyo mimi)
"Bracelet cicret" ni microprojector kazi yake ni kudisplay simu yako mkononi na kugeuza mkono kuwa kama touch divice or Tablet
Wahusika wa hii project wanadai kuwa utaweza kuplay miziki kucheza magemu, kusoma text, mail n.k
http://m.youtube.com/watch?v=9J7GpVQCfms
Lakini jamaa wanataka Donation ili waweze kudevelop hiki kifaa na application yenyewe !
"Help us to release the Cicret App and the Cicret Bracelet! We need 300,000 euros to develop the CICRET APP on all the platforms."
website yao hii apa Donate | Cicret
Lakini kwa mtizamo wangu mimi jamaa hawako serious na wanataka kula ela za watu mana hawaonyeshi developing process yeyote !
Na wamefake video ili ku validate their ongoing project !
If it will be true, then i'll be the one to buy this.
Sijui wewe unalitizamaje hili ?
snipa
Last edited by a moderator: