Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Nina kiasi kidogo cha pesa kama laki na tisini je ninunue simu gan jamani manake kiukweli I hate tecno

Nataka kununua tablet ya tecno G9 kwa 450,000/-
Je, bei hii ni fair?
Je,ni nzuri kiasi gani?
Itanifaa kwenye internet?

Mimi nimetumia bidhaa za hao jamaa lkn mwisho wa siku nilikuja kutofautisha ubora na brand nyingine kama samsung kifupi ni bei rahisi lakini kero nyingi.....jichange kaka ununue brand nyingine lkn sio hao jamaa...low quality kabisa bidhaa zao

Mkuu don't buy for that price kwakwel ni kubwa mno coz mpya kabsa ni 300,000 tuu
kutokana na specs zake iko powa hata kwa internet.
kwa size ni kubwa kuliko p9 na s9 na ni ndogo kidogo ya n9.
kama unataka kwa ajili ya kutembea nayo muda wote itakunyima uhuru ni vyema kuchukua p9 au s9.
ila kwa hiyo bei ni kubwa kidogo. nadhani ingekuwa 400000.