Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Anonymous (9b22)
Shida ni kwamba hizi Telecom Companies na pia other companies ambazo zinajihusisha na services za home internet hazisema ukweli interms of amount ya data unayopata, kwa mfano unaweza kulipa...
8 Reactions
32 Replies
825 Views
🔥Pata website Hosting ndani ya dakika 1 Tu (Netfasta.Com)🔥 Tunatoa huduma za web hosting na usajiri wa domains kwa gharama nafuu sana na sasa tuna ofa Kwa Tsh 45,000 tu unajipatia hosting kwa...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
MOBILE PHONE REPAIRING TOOLS AND UNLOCKING MODEMS AVAILABLE : Miracle box Oss Client Pro All Android ADB FRP Remover Tool Z3x Premium Gsm Alladin Infinix Box Octopus Samsung DC Unlocker NCK Box...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni VPN gani ambayo ni inaweza kutumia kwenye Desktop computer? Ambayo ni Free!
2 Reactions
1 Replies
175 Views
Wakuu bila kupoteza muda, Nimeshangaa kuona jukwaa la tech hadi leo hii hakuna uzi special wa GCam au Google camera. Haina ubishi, hii ndio app bora ya Camera kuwahi kutokea,ambayo imetengenezwa...
49 Reactions
4K Replies
468K Views
Mwenye uhitaji wa hii hitu jamani, vyuma vimekaza. Bei laki tatu na nusu(350,000), inazungumzika. Ipo Dar Es Salaam/Tabata Heath
2 Reactions
2 Replies
138 Views
Wakuu Kuna yeyote humu yuko na side hustles pale Shutterstock? Kama upo naomba ushare experience Yako hapa tafadhali🙏
1 Reactions
1 Replies
99 Views
Wakuu nimeletewa tablet hapa wameniambia dogo alikua anachezea gemu Sasa baadaye wakafungua Kwa password Ile Ile ya 2022 lakini Ngoma inasema wrong password. Nimejaribu kufanya hardreset lakini...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Kuna blogger mmoja muhindi ni best yangu sana. Ubest wetu ulianzia kule freelancer.com tukawa tunachat mara kwa mara mpaka tumekuwa mabest akaja Tanzania kutembelea Arusha na Kilimanjaro. Jamaa...
19 Reactions
98 Replies
12K Views
N:B: Ni muhimu kupima Network kwenye eneo lako kabla ya kununua kuzuia hasara. Haya mambo ya kununua vifurushi vya buku buku unaweza kujikuta unaunga mara 3 na zaidi kwa siku, haba na haba hujaza...
35 Reactions
201 Replies
13K Views
DJI watabe wa drones, gimbals na camera kutoka China, leo officially wametuletea DJI Pocket 4! Kwa mliowahi kutumia Pocket 3, nadhani mtakua mmejua ni kitu gani DJI wamefanya. Alot of upgrades...
4 Reactions
1 Replies
181 Views
Nahitaji Speaker na Mic mbili zile zinazotumika sana kuhubiria Injili barabarani(mitaani). Naomba mnishauri ni aina(brand) ipi ina ubora wa sauti, portable na sifa nyingine muhimu za ziada...
4 Reactions
10 Replies
185 Views
Habari wadau wa audio. Natafuta Subwoofer ya inchi 10 (Used/Mitumba) kwa ajili ya DIY project yangu ya chumbani. Target yangu ni kupata Quality Bass kwa ajili ya RnB na Trap (Tight bass, siyo...
3 Reactions
6 Replies
193 Views
Kwa kipindi sasa nimekuwa nafuatilia computer nzuri kwa upande wa programming na video editing. Sio mtaalamu wa video editing ila napenda kufanya tu for fun. Kwa kuwa nimebobea kidogo kwenye...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wakuu? Nahitaji smartphone nzuri affordable isiyozidi laki Tano inayoweza kutunza charge angalau kwa saa 30 au zaidi Nimeambiwa simu zenue betri ya 7000mHA zinakaa na charge ikiwepo...
3 Reactions
7 Replies
321 Views
ClimCam is an Earth observation tool developed through the UN Office for Outer Space Affairs and Airbus program, set for deployment on the ISS to monitor East Africa multiple times daily for early...
0 Reactions
3 Replies
209 Views
GoPro Hero ni jina maarufu sana kwa wapenzi wa camera, especially Action Camera. Tokea Hero 1 mwaka 2009 hadi Hero 13 Black mwaka 2025 mengi sana yametokea kuboresha tasnia ya Action Camera...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Hii December nimepigwa ban mara sita Nimetumia number mpya hiyo hiyo ikapigwa ban Nimeadd member kwenye group nikapigwa ban Nimetuma text kwa chatgpt nikapigwa ban Kurud hiv vitu vikawa...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Wataalamu ebu nishaurini. Nina iphone 12 pro max nataka kununua iphone 14 pro max au samsung s22 ultra. Which way should I go!
6 Reactions
64 Replies
7K Views
Habari wana-tech, Leo nataka kuwashirikisha mradi wangu mmoja wa open-source unaitwa OllaBridge. Huu mchongo utawasaidia sana ma-developer wenzangu wanaotumia shared hosting (kama Hostinger...
3 Reactions
0 Replies
145 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…