Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari, Kwenye TV yangu , nina shida... TBC1 haitoi sauti lakini channel nyingine zote zilizobakia zinatoa sauti vizuri tu, kwa yoyote wa kuweza kunisaidia tafadhari... kisimbusi ninachotumia ni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani nina king'amuz cha Azama ila nashangaa kuna chanel kwenye chanel list hazifunguki... Nilipo nunua nilikuta NTV kenya and NTV uganda zilikua "access denied, ikaja pia pia chanel nyingine...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Wakuu naombeni kujua maana hasa ya International Roaming katika simu hasa kwenye upande wa Internet:what:
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Naomba kujulishwa mwenye kufahamu namna ya kutuma SMS Kutoka kwenye Computer kwenda kwenye Mobile anijulishe au ni application/software gani ninanyotakiwa niwe nayo kwenye PC yangu ili niweze kuwa...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Natumia TECNO 635 Iatumia 3G internet . Sasa nkitaka kuunganisha namba angu katka whatsApp wananiletea haya maandishi. (sms verification failed. WhasApp can also call you at 076236___ Tap "call...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari wana jf hatimaye Leo nimefanikiwa kuroot simu yangu kwa kutumia flamaroot sasa naomba msaada wenu hii flamaroot Niki I uninstall kuna tatizo lolote?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninatumia Samsung Galaxy S3 mini ambayo ina Run custom Rom(CyanogenMod11) sasa nataka kubadili Rom nakuweka CganogenMod12. So nahija Link ambayo naweza kudownload hyo custom Rom(CyanogenMod12)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, nimejitokeza kuomba msaada huu ,kwa pesa ya kibongo 60,000 nitapata iPod ya brand tajwa hapo juu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu yangu y530 imeleta ujumbe huu. Inasababisha kila nikifungua browser kukata na nashindwa kuperuzi. Nimefuta kila kitu kwenye Card n internal memory lakini wapi? Mwenye ujuzi please
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naweza kutoa thumbnail moja kwa moja? maana inachukua nafasi kubwa ndani ya internal memory
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua bei ya simu tajwa hapo juu zikiwa mpya.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
US and Rwandan researchers said Wednesday they have developed a low-cost smartphone accessory that can detect HIV and syphilis from a finger prick of blood in just 15 minutes. This is the first...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KWA mtu anaelewa hili naomba sana sana anisaidie Natumia dell inspiron 15 3000 series Nliichukua ofisin ikiwa mpya ilikua imewekwa window 7 ultimate, lkn haikua na Ms office, nikatafuta mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Siku hizi kuna mitandao ya kila aina mpaka rafiki yangu Le Nanihii anao ila inayoelimisha na kuhabarisha kuhusu Tehama ni michache au hakuna ya uhakika. Naombeni idea jinsi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina Laptop HP Probook 4320s, Button ya wi-fi haiwaki white kuniruhusu ni kamate wi fi nime uninstall ni me disable wapi nimeenda katika forum za hp ni fuata maelekezo wapi nimeamua kutumia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A hack at Anthem, the second-largest health insurer in the country, exposed personal information about millions of employees and customers. But the attack is just the latest evidence that...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana zuku wamenitumia txt kwenye namba ya cm na kunipa maelekezo ya kuscan receiver yao na nikafanya hvyo baada ya hapo wakanipa channel zinazopatikana kwenye kifurushi cha zuku classic ili hali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WanaJF nawaomba msaada kupata unblock code ya modem yangu. Model: E1550 IMEI: 3529 6504 3912508 Natanguliza shukurani
0 Reactions
52 Replies
10K Views
Nili update firmware kwa kutumia Samsung Kies, nikafanikiwa, sasa nikitaka kupiga simu inaniandikia NOT REGISTERED ON NETWORK. Nikiangalia IMEI NUMBER naona imebadilika ni tofauti na...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu nipo mkoani kesho naelekea Dar es salaam.. ningependa kujua bei ya simu tajwa hapo juu na wapi nitaipata kiurahisi. Shukrani.
0 Reactions
11 Replies
14K Views
Back
Top Bottom