Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Wakuu
Siku hizi kuna mitandao ya kila aina mpaka rafiki yangu Le Nanihii anao ila inayoelimisha na kuhabarisha kuhusu Tehama ni michache au hakuna ya uhakika.
Naombeni idea jinsi ya kuanzisha mtandao wa Tehama utakao kuwa na mashiko hii ni fursa kwa sasa na baadaye.
Ambao watakuwa interested wanicheki PM.
Tuanzishe mtandao huu, tutimie mitandao kuleta tija.
Karibuni