Ujumbe wenyewe huu
Sijafanya lolote mkuu. Hebu nielekeze nijaribu kulitatua
Simu yangu y530 imeleta ujumbe huu. Inasababisha kila nikifungua browser kukata na nashindwa kuperuzi. Nimefuta kila kitu kwenye Card n internal memory lakini wapi?
mwenye ujuzi please