unlock code: Nck: 40233107WanaJF nawaomba msaada kupata unblock code ya modem yangu.
Model: E1550
IMEI: 3529 6504 3912508
Natanguliza shukurani
Unlock code yako ni 41762967
WanaJF nawaomba msaada kupata unblock code ya modem yangu.
Model: E1550
IMEI: 3529 6504 3912508
Natanguliza shukurani
Nawashukuru sana CalvinPower an Expedito Mduda, ila codes zenu zina-differ. Which is which?
Thanx
pls ingiza na utupe majibu kutoa utata hapa
Kwanza thanks to Dr Phone for his postUnlock code yako ni 41762967
pls ingiza na utupe majibu kutoa utata hapa
Kwanza thanks to Dr Phone for his post
Mkuu Expredito umetumia algo gani ku calculate hizo codes kwa imei aliyotuma masapa.
je unaweza calculate IMEI number hii 123456789012347
ok hii hapa chini ni simple fomula check it out
MD5 ("1234567890123475e8dd316726b0335") = 8f 43 ae 1a 33 19 c6 49 cc 57 40 8b 6a 39 2d 6b
8f xor 33 xor cc xor 6a =1a
43 xor 19 xor 57 xor 39 =34
ae xor c6 xor 40 xor 2d =05
1a xor 49 xor 8b xor 6b =b3
1a3405b3 and 1ffffff or 2000000 = 23405B3
hex2dec (23405B3) = 36963763 -> unlock code
Kuna software niliitengeneza kutumia hii algo sikumbuki iko wapi nitaitafuta na kuipost hapa kesho.
Imefanya kazi ya CalvinPower. Ahsanteni sana and enjoy your w/end
Kuna software niliitengeneza kutumia hii algo sikumbuki iko wapi nitaitafuta na kuipost hapa kesho.
Jamani tuacheni kudanganyana kama watoto. Haujatengenza hii software ya ku unlock huwaei. software hizi software na tools hizo zipo online sema kama umeiwekea interface yako
Kuna mtu naye juzi juzi alinadika kuwa katengeza virus ukingalia code alishindwa hata ujannja wa kubadilisha variables.
stay tuned for more information later.Jamani tuacheni kudanganyana kama watoto. Haujatengenza hii software ya ku unlock huwaei. software hizi software na tools hizo zipo online sema kama umeiwekea interface yako
Kuna mtu naye juzi juzi alinadika kuwa katengeza virus ukingalia code alishindwa hata ujannja wa kubadilisha variables.
stay tuned for more information later.
mkuu punguza ukali wa maneno hili ni jamvi la maujuzi cha msingi angalia kichotolewa kinafanyakazi husika au la, angalia code zinazotolewa zinafanya kazi haya ndio mambo ya msingi ndio utakubali akuna anaedanganya hapa na hapa jamvini utamdanganya nani kuna kila watu wa hidara humu pamekamilika mkuu tatizo letu tunapenda kutiliamashaka jambo la kweli
Dr nawakubali wewe na clavin kwenye lakini Mtu akianza uwongo anajishushia na kushusha heshima ya utaalam wake
Mbona wewe sijawai kukutilia mashaka Kama ulivyosema tumo watu wa kila iadara kwa hiyo mtu akiamua kuandika uwongo inabidi aandike uwongo ulioenda shule.
Sasa mtu akisema ka code wengine tunapenda kujua na kuona :
Angalia kuna thread nimeona kuna watu wanasema kuna windows 8. Kuna wajanja wamebalisha interface ya windows7 au VISTA then wanawapotosha watu.
- hiyo mistari ya program aliyonadika (Lines of code)
- Atueleze progam katumia language gani na ina Module ngapi (Program Modules)
- kila Module ina invoke au kuacess funntion gani na inaenda kuchange kitu gani specific kwenye modem ( Eg Controller, Memory,etc). Hizi number kwenye modem zinahifadhiwa wapi?
- Algorithm ya kulock HUWAWEI aliijuaje au aliipata wapi maona bila hiyo asingewe kujua algorith ya kununlcok .
Calvin Power atanisamehe kuwa simwamini( Anaposema amecode) ndio maana tuko kupeana changamoto na kuelmishana. end user wengine wana knowlenge na wako kama Tomaso
We are profffesional but lets not over do.