Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu naomba msaad jinsi gani nitaweza ku copy crack folder into directory.. Hii ni baada ya kujarbu ku crack idm naambiwa ni copy clack folder to directory.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nina tv ya kichina kioo chake kinaonesha picha za kupauka, ukiwasha ina rangi ya blue iliyopauka halafu maandishi yana kivuli hayasomeki vizuri. nimejaribu kufunga saketi mpya lakn bado tatizo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu zangu watanzania, Leo nimejaribu kwenda kwenye Website ya PROIN nikiwa na dhamira ya kununua one movie ili ku-support watanzania wenzetu walioko kwenye hiyo tasnia. Website inadai kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka kujua kwanini huawei y530-U00 haina power saving mode na haina uwezo wa ku install some launchers mfano Go launcher na apps kama PicArts
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza kabla ya kuanza nashauri ununue iPhone badala ya ku install hizi Apps, ila kama unataka kufanya experiment, show off au for fun. Hizi ndio apps zinazokuhusu iOS 7 Lockscreen Parallax HD...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani natumia Tecno h6, android 4.4.2 (kitkat), nitawezaje ku- update ili nipate android 5.0 (Lollipop)? Msaada wenu please.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii PC ni desktop,kila nikifanya windows installation inaniletea msg hii.No device drivers were found.make sure tha the installation media contains the correct drivers and then click ok. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Habari zenu wakuu nilikua naomba mnijulishe kama kuna uwezekano wa kuunganisha mafile ya pdf kuwa file moja. Kuna kitabu nimedownload ila kila topic na file lake. Sasa nilikua naulizia kama kuna...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu, nina shida katika Computer yangu kunakuwa na shida tajwa hapo juu kama kunakuwa kunatokea screen ya blue na computer inakuwa inajizima, mara ya kwanza ilikuwa inaingia hadi mwisho. Ukiwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nahitaji softwares zifuatazo na keys zake 1.UFS Micro Box 2.JAF Box 3.ATF Box 4.Z3X Box 5.NS PRO Box 6.Odin Software(for android) 7.Itune Software 8.Blackberry Desktop Software 8.Z3X Box...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa wadau wanao penda kuwa wabunifu na waundaji wa vifaaa vya kielectronics UKWELI KUHUSU UBUNIFU NA UUNDAJI WA VIFAA VYA KIELECTRONICS. Itambulike kuwa saketi za vifaa vya electronics ni...
3 Reactions
3 Replies
5K Views
Tafadhali naomba mwenye settings za Airtel internet kwenye simu anipatie. Shukran.
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Nilikuwa natumia application inayoitwa ' lock box' kuweka taarifa za muhimu ambazo sikutaka kula MTU anaetumia computer yangu asiweze ku access taarifa na documents zangu za muhimu. Jana nilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Wanajamvi sijui kama tatizo hili lipo kwangu tu au na nyie limewakuta. Kila nikijaribu ku-log in inaonekana kukubali na inafikia hadi pale napoambiwa welcome Willy Gamba 1 then inaendelea ku-load...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Habari wana jamvi, nina simu aina ya samsung galaxy s3 , nilijaribu kuiroot ili iwe "mpya" kwani kuna baadhi ya vitu sikuweza kuvifanya kama screen shot...baada ya kusoma baadhi ya thread kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Heshima kwa wakubwa wote wa tech! Mimi nina taaluma yangu tofauti kabisa na utaalam wa masuala ya computer!, lakini kuna jambo moja ambalo kila siku linaendelea kunivutia siku hadi siku. Nayo ni...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Kwa mwenye kufahaham tofauti ya MP3, MP4, NA MP 5 atoe darasa hapa
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Husika na kichwa cha habari, Hapo nimetengeneza programu ya mtu anaingiza muda amabao anafanya kazi na kima kwa kutumia python lengo ni kupata gross salary, niki run programu haina error haitoi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman wale wataalam wote wenye uwezo wa kufanyia simu yangu whatsapp sms recovery inbox namba yako nikupigie natoa 700000/=. za muhimu mno.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Is there any possibility to Run OnePlusOne Rom in Samsung Galaxy S3 mini.........?
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Back
Top Bottom