Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 877
- 981
Natumia TECNO 635 Iatumia 3G internet .
Sasa nkitaka kuunganisha namba angu katka whatsApp wananiletea haya maandishi.
(sms verification failed. WhasApp can also call you at 076236___ Tap "call me" and enter the 6-digit code that you hear..)
Hayo maelezo nashindwa kuyaelewa vzur kwa sababu nikiTAP CALL ME wananiandikia verification failed. Kwa wale wazoefu naomba msaada wenu nn nifanye kwa sababu kuna jamaa yangu anatumia cm kama hii na WhatsApp ina acces kama kawaida.
Natanguliza shukran zangu