KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Nina Laptop HP Probook 4320s,
Button ya wi-fi haiwaki white kuniruhusu ni kamate wi fi nime uninstall ni me disable wapi nimeenda katika forum za hp ni fuata maelekezo wapi nimeamua kutumia d-link dwa 121 wireless n150 pico USB adapter!
Naomba msaada wa hii kitu!