Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,629 Reaction score 5,262 Feb 6, 2015 #1 Habari wadau, nimejitokeza kuomba msaada huu ,kwa pesa ya kibongo 60,000 nitapata iPod ya brand tajwa hapo juu.
Habari wadau, nimejitokeza kuomba msaada huu ,kwa pesa ya kibongo 60,000 nitapata iPod ya brand tajwa hapo juu.
N Nyasiro JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,201 Reaction score 551 Feb 6, 2015 #2 Kwa hiyo bei ni ngumu labda ukiongeza kidogo ikafika 90 unaweza pata iPod shuffle. Check hapa ipod models: http://www.apple.com/ipod/compare-ipod-models/
Kwa hiyo bei ni ngumu labda ukiongeza kidogo ikafika 90 unaweza pata iPod shuffle. Check hapa ipod models: http://www.apple.com/ipod/compare-ipod-models/