"Access Denied" Error kwenye ving'amuzi vya Azam naomba msaada

"Access Denied" Error kwenye ving'amuzi vya Azam naomba msaada

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,472
Reaction score
1,581
Jamani nina king'amuz cha Azama ila nashangaa kuna chanel kwenye chanel list hazifunguki...

Nilipo nunua nilikuta NTV kenya and NTV uganda zilikua "access denied, ikaja pia pia chanel nyingine MBC power plus nayo iko Denied leo pia nimekuta Chanel nyingine REAL MADRID TV nayo haifunguki...

Tatizo ni nini?
 
WENYELE

Wapigie Azamtv huduma kwa wateja simu ni 0764700222 hii namba ni bure watakupa jibu ok.
 
Last edited by a moderator:
WENYELE

Wapigie Azamtv huduma kwa wateja simu ni 0764700222 hii namba ni bure watakupa jibu ok.

Leo nimewapigia simu Azam mkuu,customer care kanijibu kuwa NTV Uganda and Kenya haziruhusiwi kurusha matangazo yao nje ya nchi zao,Pia MBC POWER PLUS na REAL MADRID TV muda wake haujafika kuzifungua.

Ila kingine nimeshangazwa eti Star TV hawataki kujiunga na king'amuzi cha Azam Tv,ila sababu sikupewa.
 
Bora wamekupa majibu...
 
Leo nimewapigia simu Azam mkuu, customer care kanijibu kuwa NTV Uganda and Kenya haziruhusiwi kurusha matangazo yao nje ya nchi zao, Pia MBC POWER PLUS na REAL MADRID TV muda wake haujafika kuzifungua.

Ila kingine nimeshangazwa eti Star TV hawataki kujiunga na king'amuzi cha Azam Tv, ila sababu sikupewa.

La startv walinijibu kuwa kwa kawaida unapeleka maombi kwa chanel husika na ni mpaka pale upande wa pili uliridhie, na startv wamewagomea azam kwa misingi ya ushindani wa kibiashara,

kiukweli watu wapo startimes "kudeku" startv upande wa habari at least ,TV1 na kwa siye waislam TV Imaan, Africa swahili basi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom