Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hivi kunachama cha ma-IT Tanzania ambacho kimesajiliwa na serikal? Kama kipo kinaitwaje? Kujisajili inakuaje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Computer yangu tajwa hapo juuu inakwama mara kwa mara hasa nikiwa kwenye net.Kila baada ya muda ina display "firefox not responding". Nime defrgment na ku delete tempo files lakini bado. Kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wana JF, nimetengeza slides za presentation, sasa nataka nikiwa nadisplay sentensi zishuke moja moja na sio slide yote, msaada wenu tafadhali
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Habari za majukumu wanaJF kuna simu yangu tajwa hapo juu nimesahau pin code za kui unlock naomba wataalam wa hizi mambo mnisaidie, maana sizikumbuki kabisa hizo pin code ni simu ya tecno T340...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Kwanza kabisa niwaombe radhi kwa usumbufu mwingi wa mimi kurudirudi jukwaani kwa swala mmoja zaidi ya mara moja. Nahitaji msaada juu ya namna ya ku-root. Simu yangu model yake ni Huawei Y300...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za Leo wakuu ninatafuta driver ya mediatek usb Vcom kwa ajili ya huawei y330-u11 nimejaribu kuidownload kupitia drivermax ikagoma kwakuwa drivermax wanauza.kama kuna yeyote mwenye drivers...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam wana Jamvi! Deleted files au folders katika hard drive, nadhani upelekwa katika recycle bin (trash can). Napenda kujua: Baada ya matumizi ya PC kwa muda mrefu, je system ya computer au...
2 Reactions
79 Replies
8K Views
Habari ndugu wanajamii wenzangu, Mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa la science niko hapa nikiomba msaada wa kupata application ambayo nitaidownload nitaitumia kudownload movie kwenye ubuntu os...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi habari zenu!! Mimi nina idea na video editing kwa kiasi hasahasa katka software ya sony vegas pro. Najua pia kuna wataalamu wa adobe,final cut,ulead n.K so sio vibaya tukaulizana maswali...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Wataalum heshima kwenu, naulizia programme nzuri na ya kisasa ambayo nitaweza kutumia for free kudesogn logo au flyer. Kwa mwenye kujua naomba anijuze. Nawatakia usiku mwema
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni jibu wataalamu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu, nimekuja hapa jukwaani kuomba msaada mwenye ujuzi na blog Mm nina blog inayokwenda kwa jina la FRONTPAGE, tatizo lake ni kwamba niliweka picha kwenye title ila haiko vema sana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye kujua kutatua Ili tatizo,ghafla simu inawaka Lakin kwenye kioo hakuna kitu Giza mtu akipiga unapokea Lakin haujui nani,Sijui tatizo nini na imetokea ghafla tu Update Nimeirudisha na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nawezaje kuingiza os mpya kwenye smart phone iliyozima gafla.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Basi la kwanza nchini Uingereza linalotumia kinyesi na uchafu unaotokana na chakula limeanza safari yake ya kwanza. Bio Bus,lenye viti 40 na ambalo linatoa huduma ya uchukuzi kati ya Bath na...
2 Reactions
30 Replies
10K Views
Habari wakuu, Nina iPhone ambayo mpz wangu amei block kwa ku attempt pin code akitaka kusoma meseji zangu hadi ikawa disabled. Sasa nataka ni restored firmware kwa kuiweka iphone yangu kwenye DFU...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jamii, habari zenu? Nilipewa ipad 3 kama zawadi ambayo inaingia line Ya simu lakini haina sehemu Ya kupiga Simu. Nilikua Naomba Msada wenu kujua kama unaweza kupiga simu kutumia iPad na kama...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari, Nina printer ipo installed kwa pc ya Windows 7 via USB cable na imekuwa shared. Hii machine ni 32Bit sasa issue iko hivi kuna machine nyingine ina 64Bit ya Windows 7 na inagoma kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu ni kama mwezi sasa na wiki kadhaa zimepita tangia nilivyoibiwa simu na vibaka waliochana nyavu nakuiba kupitia dirishani. ni simu aina ya huawei y530.risit na mpaka box lake bado lipo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilimwona jamaa fulani ana-download file la 14MB kwa dakika 2 tu kwa simu ya TECNO H5 Nikatamani sana na mimi simu yangu ya NOKIA E65 i- download haraka kama yake, kwani siridhiki kabisa na speed...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom