Nawezaje Ku-restore OS ya Smartphone iliyozima Ghafla?

Nawezaje Ku-restore OS ya Smartphone iliyozima Ghafla?

Kwanini imezima Ni simu ya aina gani Kisha ndio ujue unaifanyaje..

What if ni power Ac imekufa What if ni system memory imekufa CHUNGUZA KWANZA KISHA NDIO UOMBE MSAADA.
 
nimeshindwa kujua tatizo lililofanya izime maana mimi nimepewa ikiwa imezima .....
na aliyenipa kasema ilizima gafla .....
aina ya simu ni htc mini
 
kama ni htc one mini kwa haraka haraka, check ukichomeka kwenye computer inafanyaje... kama hakuna response yoyote jaribu kushikiria power button na cha volume - kwa kama sekunde 20 hvi huku simu ikiwa imechomekwa bado kwenye computer..

kama bado iko kimya jaribu kutumia spirit au petrol kusafisha hyo usb terminal yake....

isipofaa jaribu kuchukua pini au kitu chochote chenye nncha kali nyanyua kidogo hicho kibati cha katikati kwenye hyo usb terminal then ingiza kwenye charge afu skilizia

ikishindikana kabsaa mpelekee mtaalamu akaifungue hyo ni hardware issues tena
 
Back
Top Bottom