Wandugu mwenzenu nimeumbuka, nahitaji msaada au nini cha kufanya. Bado sijawa deep na Wordpress lakini clients wengi nilionao sasahivi wanataka site zao ziwe kwa Wordpressfor for CMS stuff.
Sasa...
Wakuu habar.
Nimepata tatizo hapa linaniumiza kichwa..nilikua naweka partion mpya kweny laptop yngu yenye window 8.1. kwa kutumia AOMEI assistant.sasa baada ya kujiprocess nikakuta pc inaleta...
naomba msaada laptop yangu aina ya TOSHIBA satellite ilzima gafla,nikiwa naangalia muvie,nilivyoiwasha taa ya power inawaka,na fan inafanya kazi ila screeni ni nyeusi,nifanyeje jamani
Habari zenu wana jamvi,
Nnaombeni mnisaidie nimitengeneza website yangu kwenye notepad kwenye sula la kuhost ndio majanga yenyewe hivi ni hosters gani wana host freeee?
Jamani naombeni mnisaidie...
Wakuu nina kiaidia mshenzi ambacho nataka kukifanya. Lakini sina ujanja na software development hivyo namsaka mwenye ujuzi huo.
Tafadhali kama una ujuzi wa software development na una experience...
Ndugu wana jf natumia simu aina ya huawei ascending y300 nili root na kuweka custom ROM ya slimkat sasa nimedownload whatsapp kwenye play store baada ya Ku install ikanambia kwamba slimkatrom...
Mdogo wangu kachezea simu yake ya nokia E5 kwenye phone security code
Amesahau namba alizoingiza na simu imejifunga kila akitaka kufanya chochote simu inadai security code
Naomba msaada...
Waheshimiwa natumia Samsung Galaxy s4 naomba mnifahamishe namna ya kusign out kwenye account yangu ya Gmail maana sioni kitufe cha sign out kabisa
Je nifanyeje? msaada...
Wabari wakuu
Simu yangu ni Samsung S advance GT-I9070,android version yake ni 2.3.6 lakini nataka kui-upgrade mpaka android version 4.2.
Je,natakiwa nifanyaje ili ni upgrade na kuna madhara...
Msaada wenu tafadhali wataalamu,simu hii ilikuwa inasapoti whatsapp,lakini nilipoirestore ikawa nikitaka kuidownload inagoma na inasema muda sio sahihi, hivyo niurekebishe kwanza,lakini hata...
Samahanini wajuvi wa simu.
Hivi kuna namna yoyote ya kuongeza sauti(media player)kwenye simu ya android.kwa maana ya application inayoweza kuboost sauti ikawa juu.tofauti na ya simu husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.