Nawezaje kuweka disabled iPhone into DFU Mode?

Nawezaje kuweka disabled iPhone into DFU Mode?

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Habari wakuu,

Nina iPhone ambayo mpz wangu amei block kwa ku attempt pin code akitaka kusoma meseji zangu hadi ikawa disabled. Sasa nataka ni restored firmware kwa kuiweka iphone yangu kwenye DFU mode.

Ila tatizo ni kwamba HOME button ya iPhone yangu haifanyi kazi, kuna njia nyingine ambayo naweza kuiweka disabled iphone kwenye DFU mode.
 
Back
Top Bottom