Naomba msada wa ku-root huawei y300

Naomba msada wa ku-root huawei y300

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Kwanza kabisa niwaombe radhi kwa usumbufu mwingi wa mimi kurudirudi jukwaani kwa swala mmoja zaidi ya mara moja. Nahitaji msaada juu ya namna ya ku-root.

Simu yangu model yake ni Huawei Y300. Natumaini kuwa mtani saidia na nina tanguliza shucrani zangu.

Naomba kuwasilisha.
 
Kwanza kabisa niwaombe rathi kwa usumbufu mwingi wa mimi kurudirudi jukwaani kwa swala mmoja zaidi ya mara moja. Nahitaji msaada juu ya namna ya ku-root.

simu yangu model yake ni Huawei Y300.natumaini kuwa mtani saidia na nina tanguliza shucrani zangu,. Naomba kuwasilisha.
Ndugu MOLAM kuroot huawei si kitu kigumu sana, kitu kikubwa ni uwe na maarifa kidogo na computer yako.

Requirements..
1. Computer yenye Windows OS.
2. Kuna program maalum yenye option zote (All in One) zitakazokuwezesha kuroot na kuinstall recovery. (Kama utahitaji custom recovery)
3. Bootloader unlock code. (Kwa sababu kwenye hii Ascend Y300 tuna-unlock bootloader, kwa hiyo lazima uwe na codes sahihi. Jaribu kugoogle ukishindwa, utapata msaada zaidi.
4. USB cable inayofanya kazi vizuri.

NB: Kama simu yako ni toleo la tiGO (ina Network Lock) hakikisha ime-unlockiwa.
Hiyo program ya All in One nitakupatia link ili uweze kuipakua.
 
DreamChaser.

Simu nahisi ime unlockiwa kwani nilichukua kwa mtu, lakuni intumia layni zote, nawala si tigo tu,
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kabisa niwaombe rathi kwa usumbufu mwingi wa mimi kurudirudi jukwaani kwa swala mmoja zaidi ya mara moja. Nahitaji msaada juu ya namna ya ku-root.

simu yangu model yake ni Huawei Y300.natumaini kuwa mtani saidia na nina tanguliza shucrani zangu,. Naomba kuwasilisha.

Tumia towel root.
 
Je! naezaje ku-disable anti virus natumua avg.
 
Ndugu MOLAM

Soma neno kwa neno kwenye hizi link mbili hapo chini

Download faili zote zinazotakiwa ndipo uanze zoezi la rooting

Steps ni rahisi na zinaeleweka
  • Nimeshafanyia rooting y300 kwa zaidi ya simu tatu
  • Kwa kuFuata maelekezo ya kwenye hizi link:


  • Hakikisha umedownload faili zote zinazotakiwa kwanza
  • Soma japo mara mbili kwa umakini ndipo uanze zoezi la Rooting
Maelekezo kwenye hizo link yapo wazi na yanaeleweka, Feedback ukifanikiwa
Karibu.
Angalia VIDEO ili kupata mwanga zaidi - Zingatia kipengele cha Rooting​
 
Last edited by a moderator:
Nimejaribu kuingia kwenye link hiyo ila bado sijapata dira nini kitaendelea baada ya kuingia?

Fuata maelekezo kwa umakini, nimeroot simu za aina hiyo kwa hiyo method na ni rahisi na salama.
 
Ndugu MOLAM kuroot huawei si kitu kigumu sana, kitu kikubwa ni uwe na maarifa kidogo na computer yako.

Requirements..
1. Computer yenye Windows OS.
2. Kuna program maalum yenye option zote (All in One) zitakazokuwezesha kuroot na kuinstall recovery. (Kama utahitaji custom recovery)
3. Bootloader unlock code. (Kwa sababu kwenye hii Ascend Y300 tuna-unlock bootloader, kwa hiyo lazima uwe na codes sahihi. Jaribu kugoogle ukishindwa, utapata msaada zaidi.
4. USB cable inayofanya kazi vizuri.

NB: Kama simu yako ni toleo la tiGO (ina Network Lock) hakikisha ime-unlockiwa.
Hiyo program ya All in One nitakupatia link ili uweze kuipakua.
naomba nisaidie hiyo link
 
Back
Top Bottom