Dell latitude e5430 inakwama kwama, naomba msaada

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,116
Reaction score
5,119
Computer yangu tajwa hapo juuu inakwama mara kwa mara hasa nikiwa kwenye net.Kila baada ya muda ina display "firefox not responding".

Nime defrgment na ku delete tempo files lakini bado. Kwenye hard disc nimetumia GB 38 na kuna zaidi ya 300 hazijaguswa.
Naomba ushauri wakuu.
 
ikikwama fungua task manager halafu angalia kitu gani kinazidiwa.

kufungua task manager bonyeza ctrl+alt+delet au kwenye taskbar right click kisha chagua task manager

angalia cpu, ram au hdd ipi inazidiwa. utakayoona imefika 100% au inakaribia ujue hiyo ndio inayozidiwa itabidi uibadilishe au uongeze
 
Asante sana.Nitaleta mrejesho.
 
Back
Top Bottom