Nawezaje ku-unlock simu ya tecno t340

Nawezaje ku-unlock simu ya tecno t340

Ba E's

Senior Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
145
Reaction score
52
Habari za majukumu wanaJF kuna simu yangu tajwa hapo juu nimesahau pin code za kui unlock naomba wataalam wa hizi mambo mnisaidie, maana sizikumbuki kabisa hizo pin code ni simu ya tecno T340.

Ahsanteni!
 
Mbona kimya wadau, mwl RCT nisaidie kaka
 
Mkuu na Mimi ninashida kama Yako. Vipi? Wewe ulifanikiwa ku-unlock ama?
 
Back
Top Bottom