Naweza kupiga simu kutumia iPad 3?

mrlonely98

Member
Nov 6, 2009
94
6
Wana jamii, habari zenu? Nilipewa ipad 3 kama zawadi ambayo inaingia line Ya simu lakini haina sehemu Ya kupiga Simu. Nilikua Naomba Msada wenu kujua kama unaweza kupiga simu kutumia iPad na kama huwezi basi internet unaunga Vipi kama sehemu ya kupiga simu haina
 
unga kwa sms kwa kutuma code, au tumia simu nyengine kujiungia kifurushi namba yako au toa line jiunge halafu rudisha line
 
Wana jamii, habari zenu? Nilipewa ipad 3 kama zawadi ambayo inaingia line Ya simu lakini haina sehemu Ya kupiga Simu. Nilikua Naomba Msada wenu kujua kama unaweza kupiga simu kutumia iPad na kama huwezi basi internet unaunga Vipi kama sehemu ya kupiga simu haina

Ipad haijatengenezwa kwa ajiri ya kupiga simu au kupokea na kutuma sms za kawaida , hii ni kwa sababu ndani yake hazijawekewa kifaa (modem) kwa ajiri ya hiyo issue, unaweza tu kutumia kwenye 3g/4g internet. simple tu ukitaka kujiunga bundle fuata ushauri wa c. mkwawa hapo juu ..
 
Hapo tumia simu nyingine kujiunga kisha weka APN then fungua net kunakuwa na aina 3 za iPad yaan WIFI, GSM, CELLULAR wifi kama unavojua haina sehemu ya kuweka line wala haina IMEI kwenye back cover.

Pia GSM ni ipad inayoingiza line ila uwezi kupiga na ina IMEI kwenye back cover ila CELLULAR inasehemu ya kuweka line na inasehemu ya kupiga na ina IMEI kwenye back cover.
 
Wana jamii, habari zenu? Nilipewa ipad 3 kama zawadi ambayo inaingia line Ya simu lakini haina sehemu Ya kupiga Simu. Nilikua Naomba Msada wenu kujua kama unaweza kupiga simu kutumia iPad na kama huwezi basi internet unaunga Vipi kama sehemu ya kupiga simu haina

Ipad 3 mkuu utazitumiaje, hebu niuzie moja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom