Ninatumia king'amuzi ca Star times but juzi nimechukua na cha Azam pia.
Lakini sioni channel yoyote, zaidi inaandika Smart Card never paired. How to fix this??
habaria za mda huu wakuu...linaweza likawa la ajabu la kushangaza ila nilikuwa napenda kufaham ivi unaweza kudownloada apps kwnye computer den kuitransfer kwnye sim na kuitumia mfano unataka...
salaam wakuu,
hii app sijui ni kwanini imegoma kurun kabisa kwenye simu yangu, nikajaribu kufanya installation kwenye simu ya rafiki yangu still ikakataa. Kwa sasa inabidi nitumie native browser...
FB wanafanyia majaribio app ambayo itakuwa inaonyesha ni nani anakupigia hata kama namba hauijui na pia itakuwa inablock namba ambazo zimezuiwa kwa wingi na watu wengine. FB pia inamiliki...
Wadau naombeni msaada kidogo hapa, nmechukua huawei ascend y530 mpya dukan lkn nkitumia line ya airtel inafanya kazi vizuri internet na vingine lkn inakataa watsapp haifungui.
Msaada pliz
Tunatengeneza kila aina ya computer kama imeharibika kitu yeyote ile tunakupa ushaur na kutengeneza kwa bei cheee sana kama ushakata tamaaa na computer yako basi tutafute whatsapp kwa namba...
hii saa ni maarufu sana na imekuwa sokoni takribani miaka 20 . na imekuwa ikisadikika kutumiwa na magaidi katika kutega mabomu.
pia inasadikika kuwa wanaovaa saa hii huenda ni magaidi.
check...
kuna simu ya Itel ya Android ina tatizo la microphone. ukiongea na mtu kwenye simu humsikii mpaka uweke loudspeaker,simu ina kama mwezi tangu inunuliwe na haijawahi kuangushwa wala kupata...
Wakuu natumai mu wazima wa afya kabisa. Naomba kueleweshwa namna ya kukoti post zaidi ya moja na kumention majina kwa kutumia kompyuta.
Kwa yeyote anayejua ashee na mimi maujuzi hayo.
Whatsapp, the world's most popular smartphone instant messaging platform, has started rolling out voice services as part of its application (Android users only for now), striking fear into the...
NSA hiding Equation spy program on hard drives
"The US National Security Agency has figured out how to hide spying software deep within hard drives made by Western Digital, Seagate, Toshiba and...
Hizi ni baadhi ya Picha nilizochora. Tazama na kisha toa maoni yako. Ili kuikuza na kuiendeleza hii sanaa ya uchoraji.
Contacts:
Whatsapp- +255756851815
Instagram- Mchoraji_Cyper255
Link...
Habari zenu wakuu.
Natumai mu-wazima kabisa nahitaji msaada wa ku-download tubemate kwenye simu yangu.
Nimefungua site yao naona imekuwa tofauti na ilivyokuwa mwanzo kama kuna mwenye link...
Waungwana ninatumia Android device ipo slow sana hasa kwenye upande wa internet, kwa mara ya kwanza nikai-restore lakini tatizo liko palepale.
Nikaamua kuifanyia Hard reset lkn bado tatzo nalo...
Waungwana naomba kujua nitawezaje kutumia simu yangu Tecno kama modem kwenye pc window xp 2009?
Hapo awali nilikuwa natumia window 7 na simu ilikuwa ndiyo modem yangu, sasa juzi tar 24 nimepiga...
Unaweza kutumia baadhi ya applications ktk sim yako(blackberry) bila ya kulipia huduma ile ya bb.....apps izo ni kama whatsapp,jamiiforum,viber,operamini........bundle utakalotumia ni lile la...
hey wadau ni kweli kuwa tecno h6 inauzwa bila external memory kwa sababu Jana rafiki angu lakini memory hajapatiwa muuzaji anasema kuwa haijatolewa na memory card
Naomba anaejua anieleweshe kidogo.. kama uwezekano wa kulipia dstv kwa siku.. mfano nifungue premium package lakini kwa siku moja then hela niliyoweka ikiisha kinakata..
Msaada wenu plz
Salute wakuu.
Kwanza nianze kwa kukiri kuwa kwa ushamba wangu niliuziwa clone ya S5 nikidhani ni orijino! Baada ya kugundua niliumia kwani nilipigwa pesa nyingi sana.
Nshakubaliana na matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.