hey wadau ni kweli kuwa tecno h6 inauzwa bila external memory kwa sababu Jana rafiki angu lakini memory hajapatiwa muuzaji anasema kuwa haijatolewa na memory card
hey wadau ni kweli kuwa tecno h6 inauzwa bila external memory kwa sababu Jana rafiki angu lakini memory hajapatiwa muuzaji anasema kuwa haijatolewa na memory card
Yaah haina memory, ila inasehem ya kuwekea kama ukuhitaji kuweka memory lkn yenyewe ina internal storage 8gb ambayo imegawanywa mara mbili. Ipo ya kuwekea App na yakuwekea musuc videos nk.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.