Simu haifungui whatssap

Simu haifungui whatssap

bullbar

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
495
Reaction score
838
Wadau naombeni msaada kidogo hapa, nmechukua huawei ascend y530 mpya dukan lkn nkitumia line ya airtel inafanya kazi vizuri internet na vingine lkn inakataa watsapp haifungui.

Msaada pliz
 
Wadau naombeni msaada kidogo hapa ..nmechukua huawei ascend y530 mpya dukan lkn nkitumia line ya airtel inafanya kazi vizuri internet na vingine lkn inakataa watsapp haifungui..msaada pliz
  • Gusa SETTINGS
  • Gusa MOBILE NETWORK
  • Gusa ACCESS POINT NAMES
  • Kwenye APNs Gusa NEW APN
  • Name - Weka jina lolote
  • APN - andika internet
  • Gusa MENU - chagua SAVE
  • Jaribu tena kufungua hiyo app. kwa laini nyingine.
 
Back
Top Bottom