Msaada wa tubemate kwenye android wakuu.

Msaada wa tubemate kwenye android wakuu.

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
Habari zenu wakuu.

Natumai mu-wazima kabisa nahitaji msaada wa ku-download tubemate kwenye simu yangu.

Nimefungua site yao naona imekuwa tofauti na ilivyokuwa mwanzo kama kuna mwenye link yoyote naomba anisaidie tafadhali.

Natanguliza Shukran.
 
Back
Top Bottom