Kwa Wanaopenda Uchoraji

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
1,758
6,087
Hizi ni baadhi ya Picha nilizochora. Tazama na kisha toa maoni yako. Ili kuikuza na kuiendeleza hii sanaa ya uchoraji.

Contacts:
•Whatsapp- +255756851815

•Instagram- Mchoraji_Cyper255
Link: www.instagram.com/mchoraji_cyper255

•Facebook Page- Cyper Tanzania Drawing Arts
Link: www.facebook.com/cyperdrawing

•Twitter- Cyper255


•karibuni.
 

Attachments

  • 1396026393829.jpg
    1396026393829.jpg
    57.3 KB · Views: 1,731
  • 1396026428412.jpg
    1396026428412.jpg
    59.1 KB · Views: 1,552
  • 1396026462602.jpg
    1396026462602.jpg
    57.4 KB · Views: 1,406
  • 1396026506413.jpg
    1396026506413.jpg
    66.5 KB · Views: 1,346
  • 1396026542242.jpg
    1396026542242.jpg
    59.6 KB · Views: 1,318
jamani unajua kuchoraa hongeraa natamani unichore namimi..nina picha mbili nliwaambia wachoraji wanichore wakakosea kabis yaan hawajanipatia..nahis wewe utaweza...
 
Pamoja.

Nitakuwa nautumia huu Uzi kuweka Picha mpya nitakazochora.
Comments zenu ni muhimu.
 
Pole sana Dada angu. Mi sijawa mtaalamu sana ila unaweza kunipa hiyo picha ukanipima. Mi natumia pencel kwasasa bado sijaanza kwenye rangi.

naomba nikija dar nikutafute unichore then na picha yangu naondoka nayo ama haitawezekana kwa siku moja?
 
jamani unajua kuchoraa hongeraa natamani unichore namimi..nina picha mbili nliwaambia wachoraji wanichore wakakosea kabis yaan hawajanipatia..nahis wewe utaweza...

acha uongo. mbona nilikuchola vizuri kasolo papuchi
 
unajitahidi sana mkuu ila kuna jamaa mmoja da huyo ni kiboko amenichora mpaka watu wamesema nimekuza picha yuko safi kiuchoraji ningekuunganisha nae ila upande wa mitandao kama JF au facebook
yuko nyuma sana mpaka kero.
 
Back
Top Bottom