Configuration zake ni manual....
una maana gan unavyosema confg. zake ni MANUAL
Kama unatumia voda tuma neno ALL kwenda 15300,kama unatumia airtel tuma neno Internet kwenda 232
Unatumia smartphone? Ulishawahi kupata configuration settings?,,,,,, kitendo cha kutokupata settings za internet za mtandao fulani.... Hapo ni manual..
. inakulazimu u-set mwenyewe.... Ili uweze kuwa accessed na internet services.
Nenda setting>>wireless and mobile networks /mobile networks >> access point names >>thnx na ni vip au ni jinc gan unaset ili niweze kuwa access na net
Wakuu ...nina simu aina ya Nokia E72 ambayo nimeipata siku hizihizi, cha ajabu imegoma kabisa ku-connect internet, naomba msaada wenu wadau.
Hao hawanaga....complications... Wasumbufu ni TIGO.. Na huyu... Muanzisha uzi itakuwa anatumia tigo
Asante..kwa mawazo yako.... Nina experience na nokia S40 na S60...kwa muda usiopungua miaka 8. Huyo muanzisha mada hajui... Inabidi uende nae mdogo mdogo. Wewe umetumia lugha ngumu sana kwake. We have different IQ's.Hakikisha kwanza tarehe ipo sahihi.
Inaleta massage gani ?
Unatumia browser gani ?
Unatumia mtandao gani ?
ungesema mtandao mwingine sawa ila ktk symbian tigo haina usumbufu kama unavyodai, unaweza tumia APN za mtandao mwingine wowote bila matatizo, tena ukiweka tu laini basi, labda uniambie kwenye touch last edition phones not symbian..
Asante..kwa mawazo yako.... Nina experience na nokia S40 na S60...kwa muda usiopungua miaka 8. Huyo muanzisha mada hajui... Inabidi uende nae mdogo mdogo. Wewe umetumia lugha ngumu sana kwake. We have different IQ's.
Kiongozi upo vizuri. Mimi nina E22 IPo ndani.kusema hajui ni mapema sana
-Pia sijaona umuhimu wakutaja experience yako na S40/S60 kwa miaka yote iyo, binafsi ain't interested on S40 and i've used to have Asha lately 2013.....
Nnayo Nokia Symbian mpaka sasa.... I've wide range of exp
![]()