Honger kwa maelez mazur mkuu,,,yaan nimekosa hata cha kuongezea.ku-quote zaidi ya moja...hapo unapoweza ku-reply by quote kulia kwake kuna ki alama kinaambatana na + basi click hicho kwenye post unazotaka kuquote zote...ya mwisho una click reply with quote then mambo yanakuwa mwake mwake baba'ke!kuhusu kumention majina una acha space then unclick @ ambayo utaiunganisha na jina mfano Zamaulid mbele ya zamaulid kuna@
Wakuu natumai mu wazima wa afya kabisa. Naomba kueleweshwa namna ya kukoti post zaidi ya moja na kumention majina kwa kutumia kompyuta.
Kwa yeyote anayejua ashee na mimi maujuzi hayo.
ku-quote zaidi ya moja...hapo unapoweza ku-reply by quote kulia kwake kuna ki alama kinaambatana na + basi click hicho kwenye post unazotaka kuquote zote...ya mwisho una click reply with quote then mambo yanakuwa mwake mwake baba'ke!kuhusu kumention majina una acha space then unclick @ ambayo utaiunganisha na jina mfano Zamaulid mbele ya zamaulid kuna@

Mfano nifah@
Honger kwa maelez mazur mkuu,,,yaan nimekosa hata cha kuongezea.
Maelezzo ya huyu mdau yanatosha ila Picha huongea zaidi ya maneno hizo alama anazo zisema na ukisha zibonyeza zitawekewa alama ya Tick
ku-quote zaidi ya moja...hapo unapoweza ku-reply by quote kulia kwake kuna ki alama kinaambatana na + basi click hicho kwenye post unazotaka kuquote zote...ya mwisho una click reply with quote then mambo yanakuwa mwake mwake baba'ke!kuhusu kumention majina una acha space then unclick @ ambayo utaiunganisha na jina mfano Zamaulid mbele ya zamaulid kuna@
asante sana Zamaulid kwa maunjanja
Mfano nifah@
Ahsanteni sana wakuu kwa msaada wenu.umepatia
Ahsanteni sana wakuu Zamaulid@, farijiel@, njunwa wamavoko@, elungata@ na el nino II@ kwa msaada wenu.
Ahsanteni sana wakuu kwa msaada wenu.
Kweny cm kwa kutumia browser au JF application,??Vp kwny cm.
Kweny cm kwa kutumia browser au JF application,??
100% kwa 100% umepata...
Select comments mbili au zaidi unazotaka ku quoteJf app mkuu.
ku-quote zaidi ya moja...hapo unapoweza ku-reply by quote kulia kwake kuna ki alama kinaambatana na + basi click hicho kwenye post unazotaka kuquote zote...ya mwisho una click reply with quote then mambo yanakuwa mwake mwake baba'ke!kuhusu kumention majina una acha space then unclick @ ambayo utaiunganisha na jina mfano Zamaulid mbele ya zamaulid kuna@
Maelezzo ya huyu mdau yanatosha ila Picha huongea zaidi ya maneno hizo alama anazo zisema na ukisha zibonyeza zitawekewa alama ya Tick
Select comments mbili au zaidi unazotaka ku quote
Kisha juu kushoto kwako utaona 2selected afu kulia kwako kuna ki button cha quote utabonyeza hicho utatoa mchango wako
Angalia picha
Mkuu NYEHUNGE hapa nilipo natumia simu na kwa kufuata maelekezo ya hapo juu kila kitu kinafanyika hivyo hivyo...lkn nadhan inabidi uwe unatumia jamiiforums app