Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,701
- 2,613
FB wanafanyia majaribio app ambayo itakuwa inaonyesha ni nani anakupigia hata kama namba hauijui na pia itakuwa inablock namba ambazo zimezuiwa kwa wingi na watu wengine. FB pia inamiliki instagram, whatsapp na fb messenger hivyo ina database kubwa sana ya namba za watu.