Omwami Nshomile
Senior Member
- Jan 26, 2015
- 132
- 28
Salute wakuu.
Kwanza nianze kwa kukiri kuwa kwa ushamba wangu niliuziwa clone ya S5 nikidhani ni orijino! Baada ya kugundua niliumia kwani nilipigwa pesa nyingi sana.
Nshakubaliana na matokeo.
Hii simu nimeitumia kwa muda sasa inaleta matatizo.
Ukiizima, wakati wa kuwasha unabonyeza kitufe cha kuwashia mpaka kidole kinauma. Inatumia almost 15 to 20 minutes kuwaka.
Je naweza kupata fundi wa kunirekebishia tatizo hilo?
Je kuna uwezekano wa kuweka new operating sysem kwenye simu za android asa hizi clone?
model number
GT-I9600.