masuki boy
New Member
- Jan 21, 2014
- 3
- 1
Naomba anaejua anieleweshe kidogo.. kama uwezekano wa kulipia dstv kwa siku.. mfano nifungue premium package lakini kwa siku moja then hela niliyoweka ikiisha kinakata..
Msaada wenu plz
Msaada wenu plz