I urgently need a completely free Mac tool for Data recovery. Not the ones after scan is finished say "buy Pro version to recover!"
Any links to download?
wadau ninaomba kuuliza ni kwanini kuna baadhi ya app hasa zile za mpira ukishainstall ikikubali unapotaka kuifungua inaandika unfortunately live sports tv has stopped na kwanini wasiitoe playstore.
transformer primary winding ina induce vp secondary winding hali ya kuwa both zote zimeweka insulation Najiuliza hizi magnetic flux zinafikaje kwenye secondary winding na kutoa output wether step...
Habari za kazi wana jamvi nilikuwa naomba ushauri nahitaji kununua mzigo Alibaba ila huyo seller ana option ya kulipia kwa paypal je pesa yangu itakuwa safe endapo mzigo hautofika kama wafanyavyo...
Wakuu niaje,
long time sijapost chochote maana niko busy vibaya mno though huwa napita pita siku moja moja...
Nina swala moja tu leo ambalo ningependa ushauri wenu kwa faida ya kila mtu...
Hey wana Jf naomba kujua jinsi ya kufungua personal website. Naiitaji sana kwa ajili ya kuweka na kutunza data zangu maana nimepoteza data zangu nyingi za muhimu need help plz
Watafiti kutoka Chuo cha Stanford nchini Marekani wamefanikiwa kutengeneza betri linaloweza kuchajiwa na kujaa ndani ya dakika moja. Pia teknolojia ya betri hilo ni salama zaidi kuzidi teknolojia...
Kwa wale wafanyabiashara wenye maduka ya jumla na reja reja napenda kuwa julisha Software ya kompyuta itayo kusaidia katika biashara zako katika kufunga stock,mauzo(selling),matumizi nk.
program...
Wanajamvi , naombeni mnielekeze duka gani kwa dar naweza kupata transfoma mpya zenye kiwango kuanzia 12v -0 -12v mpaka 30v -0-30v . Na ampere 3 mpaka 5 mwisho. Na bei zake kama mtu anauzoefu...
wadau.wasomi kutoka chuo cha stanford univesity,california wamegundua betri mpya za simu ambazo zitajaa chaji ndani ya dakika moja tu.
================
Sasa hivi teknolojia inatuletea hii.. simu...
Wapendwa habari?
Naomba kuelekezwa namna ya kuelekezwa namna ya kuset account yangu ya facebook ili watu wailike kwasababu nimefikisha marafiki 5000 tangu Ijumaa.
Asante.
nnaomba kujuzwa kama kunanjia ya kusolve matizo yafuatayo kwenye simu aina ya Samsung galaxy y duos
-system storage getting low, hapo unakuta no any installed application kusema kwamba inachukua...
nawasilisha kwa kuwa follower wa jf kwa muda mrefu na kuuulza maswali mengi kuhusu tecnolojia Chief-Mkwawa amekua msaada mkubwa kwangu na watu wengine
nilikua naomba kujua experience yako...
Nimetumiwa hela jamani kwa njia ya western Union nikiwa Marekani, Kwa bahati mbaya sana wakati hela inatumwa nikapata dharura ya kurudi nchini, kwa kifupi nikapishana na hela, je naweza kuitoa...
Samsung's new flagship Galaxy S6 and Galaxy S6 edge feature fresh new designs, better build quality, new software, the best smartphone displays on the planet and cutting-edge new internal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.