Ufanyaji kazi wa transformer una theory ndefu kidogo ila kwa kifupi ni hivi
1. Magnetic flux zinatoka upande mmoja wa winding kwenda upande wa pili kwa kupitia iron core,na haziruki katika hewa kurukia upande wa pili.na plastic insulator haina uwezo wa kuzuia magnetic flux kuwa induced katika coil.
View attachment 241290
Na kuhusu insulation ni kwamba plastic insulator haina uwezo wa kuzuia magnetic flux kuwa induced katika coil.Mfano chukua sumaku ya kawaida na chuma harafu chuma kile kivalishe insulation tape jaribu uone kama sumaku itakivuta chuma hicho au la .jibu utakalo lipata ndio lio litajibu swali lako la kwa nn magnetic flux zinapita katika insulation.
2.DC ni umeme ambao ni direct current yaani umeme mnyoofu wakati AC ni alternating current yaani umeme megeuko.
Magnetic flux zinaweza kutengenezwa katika iron core kama current inayopita katika coil ni ya mgeuko ambayo ina ingia na kutoka yaani inaenda katika mfumo wa 1 to 0 (ON and OFF)in a certain frequencies mfano umeme wa majumbani una frequency ya 50Hz hadi 60Hz(kwa jina jingine umeme huu unaitwa umeme mruko).
Umeme wa DC current yake inaenda katika style ya 1 na siyo 1 to zero hivyo unashindwa kuzalishwa frequency ndiyo maana pia unashindwa kuzalisha magnetic flux.(hivyo ili umeme wa DC upite katika transformer huhitaji kuingizwa katika vifaa vya kielectronics kama vile Inverter ili ubadilishwe aina yake ya mawimbi ndipo uingizwe katika transformer.
If not enough just go deep
HERE